Filter
Exclude
Time range
-
Near
என்றும் உங்கள் நினைவுகள் #Captain #Vijayakanth Sir 2nd Year Death Anniversary #RIPVijayakanth #RIPCaptain #DMDK #RIPCaptainVijayakanth
6
174
We then proceeded to Opoda Farm to visit the Odinga family. Standing in solidarity with Canon Mama Ida Odinga in remembrance of Baba - a man whose life of courage was devoted to justice, sacrifice, and service to our nation. #RIPCAPTAIN
3
22
5,580
"Finally, the tragic death of Thurman Munson, which touched baseball fans everywhere. Captain of the World Champion New York #Yankees, once an MVP, always a winner." ~ Mel Allen (This Week In Baseball - August 1979) #RIPCaptain #TWIB #MLB #Baseball #History #RepBX
7
44
311
13,334
Replying to @HustleBitch_
He died doing what he loved #RIPCaptain
2
181
Today In 1979: The players and fans at Yankee Stadium give an emotional standing ovation to honor the memory of New York #Yankees legend Thurman Munson. #RIPCaptain #MLB #Baseball #History #RepBX
5
19
153
18,969
46 Years Ago Today: David Brinkley reports the tragic death of New York #Yankees captain Thurman Munson on the NBC Nightly News (August 2, 1979) #MLB #Legend #Baseball #History #RIPCaptain
12
83
363
22,892
Replying to @AmazingPopPod
RIPCaptain Carl.
3
169
என்றும் உங்கள் நினைவுகள் #Captain #Vijayakanth #RIPVijayakanth #RIPCaptain #DMDK #RIPCaptainVijayakanth
1
15
590
45 Years Ago Today: David Brinkley reports the tragic death of New York #Yankees captain Thurman Munson on the NBC Nightly News (August 2, 1979) #MLB #Legend #Baseball #History #RIPCaptain
40
206
823
128,694
Moment of Silence (Ukimya wa Muda Mfupi) kuwakumbuka wanahabari wenzetu waliotangulia mbele za haki GADNER G HABASH & ZUCH ZUCHERO. Zoezi liliendeshwa na @Salym kwenye usiku wa Chalinze Waukae usiku wa kuamkia leo. #ripcaptain #ripzuchy
5
39
694
11,568
மறைந்த கேப்டன் விஜயகாந்திற்கு மே 9ம் தேதி பத்ம பூஷன் விருது டெல்லி குடியரசு தலைவர் மாளிகையில் வழங்கப்பட உள்ளதாக தகவல்... #Captain #Vijayakanth #ripcaptain #PatmaBhooshan #Remembering #CaptainVijayakanth #Jayatv
1
9
190
“Wingi huu wa watu (Gadner) angeuona kwa macho angemshukuru Mola wake na angepata nguvu, - Siku nyingine tupeane taarifa mapema mwenzetu anapokuwa kwenye hali ihitajiyo msaada ili tutoe michango kuokoa uhai wake” - Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam #RIPCaptain
1
72
2,138
“Mungu ameanza kugusa generation ya miaka ya 70, TUJIANDAE! na namna pekee ya kujiandaa ni usimalize siku bila mtu kukwambia ASANTE, - Clouds FM mmepoteza JIWE, mimi naamini Gadner bado anaishi” - Mhe. @Kasesela Mwakilishi Chama Cha Mapinduzi (CCM) #RIPCaptain
1
46
1,638
“Tunapoishi duniani tuwe baraka kwa wengine, Gadner, maisha yake yote yamekua ni baraka kwa wengine” - @MsigwaGerson Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mwana Habari. #RIPCaptain
39
1,643
“Sikutegemea kama siku ya leo tungekua hapa tukimuaga mpendwa wetu” - @JideJaydee #RIPCaptain
1
8
157
4,104
“Huwezi zungumzia tasnia ya habari nchini bila kumtaja Gadner, Gadner alikua mvumbuzi kwenye kutoa habari, alikua anatoa edutainment kwenye kipindi chao, habari ngumu zilikua zinaburudisha kwenye Jahazi” - Bakari Mwapachu (Mwakilishi Mwananchi Communications #RIPCaptain
4
87
2,098
“Asilimia 90 ya matangazo ya DSTV amefanya Gadner, sisi DSTV tumepoteza mtu muhimu sana, pole kwa familia na Clouds Media” - Baraka Shelukindo (Mwakilishi DSTV) #RIPCaptain
1
11
304
4,766
“Gadner alikua mtangazaji aliyekamilika, Sauti yake ilikua ni sauti ya biashara, ndio maana alitumika kwenye matangazo mengi. Akikaa nyuma ya mic 🎤 unajua kabisa huyu ni mtangazaji anazungumza” - Deogratius Rweyunga (Mwakilishi IPP Media) #RIPCaptain
1
3
122
2,686
“Sisi Times tutamkumbuka siku zote Gadner G Habash, alifanya kazi kwa miaka miwili na nusu Times FM kisha akaondoka, - Aliondoka kwa vizuri na hata alipoondoka tuliendelea kuazungumza” - Rehure Nyaulawa (MD, Times FM) #RIPCaptain
2
4
118
2,440
“Wiki moja iliyopita nilikwenda Hospitali, tukaongea na Gadner tukapiga story na tukacheka sana, taarifa hizi zilinishtua zilipokuja kwasababu akiniahidi baada ya siku mbili atatoka kurudi nyumbani” - Muwakilishi wa Tripple 7 Marafiki wa Gadner. #RIPCaptain
2
44
1,513