Always kinachomfanya Ronaldo abaki kua favourite kwa mashabiki ni kwa sababu ya peak performance anayoionesha Messi.
Ronaldo tayari alisha win mentality za mashabiki wengi kumshindanisha na Messi that's why Ronaldo atabakia kua top mpaka era ya Messi itakapo fika mwisho.
Kwa ufupi Ronaldo anatembelea nyota ya Messi. Hana anachomzidi Messi.
Kwa ufupi ukiondoa performance ya Messi, Ronaldo hawezi kuongelewa.
Kwa ufupi Messi ukiwekwa hisia pembeni na ukatumia utimamu wa akili Messi ni GOAT.🐐
P.S.Tengeneza mazingira watu waamini kwamba upo kwenye competition with their favorite Brand uta win game kirahisi.
If you want your brand to stand out tengeneza mazingira watu waamini kwamba upo kwenye competition with their favorite brand. Hata kama si kweli mna huo ushindani.
Umeshawahi kujiuliza kwa nini KONDE BOY kila kukicha ana fosi bifu na WASAFI?
P.S. Ukiwa mnyonge HATUKUFAGILII.