Mapenzi ni chanzo kikubwa cha furaha na maumivu at the same time.
Nna jamaa angu mdogo wake alikuwa anatembea na mke wa mtu, wamempiga nondo katoboka fuvu. Alipozima wakamchuna ngozi ya uume yote kuanzia kwenye shina. Anafanyiwa upasuaji leo kuondoa damu iliyovujia kwenye ubong
Kuna lijamaa limechoma chumba cha GF akiwa na room mate wake na wote wamefariki kisa mapenzi.
Mapenzi na wagonjwa wa akili inabidi yakatazwe kisheria.