Tafsiri hii ya kitabu chake pendwa cha βparadiseβ imefanywa na
@IdaHadjivayanis na kitabu kitatoka oktoba, 2022. Sasa hadithi za mtunzi huyu mahiri zitaanza kusomwa kwa mara ya kwanza kwa
#kiswahili Tafadhali tufuatilie kwa taarifa zaidi.
#KiswahiliDay2022 #SikuYaKiswahili