Huwezi kuwa sober driver na udesign hivi mkuu, mfano lori limeharibika hapo inabidi jamaa wafanyie service ndani ya barabara, sawa wengine watapita njia moja, lets say kapata pancha upande wa dereva, anaifix vipi wakati njia nyingine ndio magari yanatumia kupita, yanii😂😂😂