Filter
Exclude
Time range
-
Near
konce retweeted
In 2021, Tanzania made bold commitments at the global #GenerationEquality Forum to accelerate progress on women’s economic justice and rights by 2026. We are proud to partner with #ElimikaWikiendi to shine a spotlight on #GenerationEquality in Tanzania, amplify youth voices and advance the realization of gender equality for all.
Sauti za vijana ni nguzo ya mabadiliko, na huu ni wakati wetu kuongoza harakati za usawa wa kijinsia, haki na fursa sawa kwa wote. Fuatilia sehemu ya pili ya makala hii kufahamu zaidi kuhusu #KizaziChenyeUsawa. #GenerationEquality #ElimikaWikiendi
2
16
22
713
Our #future is built on every #action we are taking today. ❤🌍 Join #GenerationEquality & take action for: ▪️ #Womensrights ▪️ #Genderequality ▪️ #Climatejustice ▪️ #Representation ▪️ #Peace ▪️ #Antiracism ▪️ #Preventingviolence #UnitedNations #UNWomen
8
Ensuring women & girls have access to digital innovation & technology is key to: ✔️achieving #GenerationEquality ✔️breaking down barriers ✔️creating opportunities ✔️transforming our agrifood systems ✔️combating hunger & malnutrition #YearOfTheWomanFarmer #IYWF2026
1
4
61
Last week I joined fellow digital strategists, journalists, youth activists, feminists, gender advocates and development partners in an important discussion on #GenerationEquality, reflecting on how youth continue to shape Gender Equality conversations on digital platforms.
1
9
15
413
Agenda ya usawa wa kijinsia inapaswa kuwa shirikishi na kuimarishwa katika ngazi zote, ili vijana wengi waweze kushiriki kikamilifu na kuifanya isiwe tu ya kisera bali ya utekelezaji wa vitendo.~ Mkurugenzi @ElimikaWikiendi , @massawejk #KizaziChenyeUsawa #GenerationEquality
1
13
15
282
@massawejk ameelezea kuwa Tanzania ina watumiaji wa mitandao ya kijamii takribani milioni kumi (10M), ambapo wengi hutumia Facebook, na mtandao unaoongoza kwa mijadala ni X (Twitter).~ Mkurugenzi @ElimikaWikiendi #KizaziChenyeUsawa #GenerationEquality
11
14
480
Media and youth have an important role to play in shaping attitudes, influencing action and driving progress on gender equality and women’s empowerment. As we approach the endpoint for #GenerationEquality, UN Women, @maendeleoyajami & @jamiismz brought together 50 media professionals and youth leaders to discuss how we can collectively push the agenda forward through storytelling, advocacy and action. #KizaziChenyeUsawa #ForAllWomenAndGirls #GenerationEquality
1
18
25
472
Agenda ya usawa wa kijinsia inapaswa kuwa shirikishi na kuimarishwa katika ngazi zote, ili vijana wengi waweze kushiriki kikamilifu na kuifanya isiwe tu ya kisera bali ya utekelezaji wa vitendo. #KizaziChenyeUsawa #GenerationEquality
13
13
204
Ukatili wa kijinsia mtandaoni bado ni kikwazo kwa vijana kushiriki mijadala yenye tija kwao, hivyo ni muhimu kuhakikisha majukwaa ya kidijitali yanakuwa salama kwa wote. #KizaziChenyeUsawa #GenerationEquality
1
11
11
199
Kupeleka agenda za mabadiliko kama usawa wa kijinsia kwa Vijana tunahitaji kuzungumze lugha yao na uwepo majukwaa salama ambayo wanaweza kupata taarifa sahihi na kujadili masuala yanayowahusu. #KizaziChenyeUsawa #GenerationEquality
1
10
10
174
Tanzania ina watumiaji wa mitandao ya kijamii takribani milioni kumi (10M), ambapo wengi hutumia Facebook, na mtandao unaoongoza kwa mijadala ni X (Twitter). James Massawe, Mkurugenzi @ElimikaWikiendi #KizaziChenyeUsawa #GenerationEquality
1
17
20
372
Vyombo vya Habari vikitumika vizuri vinasaidia kukuza uelewa juu wa usawa wa kijinsia Ni muhimu kuendelea kuwajengea uwezo waandishi wa habari ili wawe sehemu rahisi ya kuifikia jamii na kuipatia taarifa - Mwamini Andrea Irunde #KizaziChenyeUsawa #GenerationEquality
14
18
263
2024 nilibahatika kuwa Brand Manager wa Taasisi iliyoniajiri baada ya kufanya kazi kwa muda mrefu kama Graphics Designer and Social Media Manager #KizaziChenyeUsawa #GenerationEquality
14
16
274
Kupitia AGCCI pia nilipata fursa ya kwenda Ethiopia na kukutana na vijana waliopata mafunzo chini ya @unwomentanzania ambapo tulibadilishana uzoefu. #KizaziChenyeUsawa #GenerationEquality
1
11
12
251
Baada ya kupata mafunzo yale nilikuwa Balozi na tulipata nafasi ya kufundisha vijana Kigoma, Singida, Zanzibar. Tuliwafunzi jinsi ya kukuza chapa, kutumia mitandao kujitangaza. #KizaziChenyeUsawa #GenerationEquality
1
13
16
319
Bajeti Wezeshi ya Masuala ya Kijinsia Serikali kupitia wizara sita (6) imejiwekea mkakati wa kuongeza bajeti kwa ajili ya kushughulikia changamoto mbalimbali za kijinsia na kuwezesha upatikanaji wa huduma za kifedha kwa makundi tofauti. #KizaziChenyeUsawa #GenerationEquality
13
17
319