Zaidi Wananchi wanaodanganywa kuwa wao ndio mabosi wa Wanasiasa wanavaa vyovyote tu ila hawa waongo wanasiasa wa Kidemokrasia ndio wamejipangia micodes ya kuvaa toka fikra za kimagharibi za Ubepari na Demokrasia na kujiita waheshimiwa kabisa na wamejitukuza kuliko Wananchi