Usimamizi wa maisha yako, unaanzia kwenye Usimamizi wa fikra yako,
Mzee Robin Sharma akasema
"Ubora wa maisha yako unatokana na ubora wa fikra yako"
Kabla hujaanza kurekebisha maisha,mahusiano, biashara yako kwa nje,
Anza kurekebisha kilicho ndani ya hiyo fikra.
MindTips.