Filter
Exclude
Time range
-
Near
Replying to @4thTurning101
It turns out Misuko was a Japanese Budhist. I am not certain why that would be significant, this is interesting:

🚨 BREAKING NEWS! 🚨 A 124 year old Buddhist temple in Hokkaido called the Naritasan Shōkōji Temple has been burned down. This now makes it the 8th historic Buddhist temple burned down this year.
6
Coudenhove-Kalergi was de zoon van de Oostenrijks-Hongaars diplomaat Heinrich von Coudenhove-Kalergi in Japan en een Japanse moeder Misuko Aoyama. Zie mijn artikel met de originele citaten uit 1925/1926. gerard1945.wordpress.com/202…
1
39
Replying to @frodo4465
thank you so muchhhhh misuko!!!!!!!!!!! 🥹🥹❤️‍🩹
1
1
11
Replying to @frodo4465
thankyouuuu misuko 🥺❤️‍🩹❤️‍🩹 thankfully it's pretty cool-ish in here right neow ><
1
1
13
Mama Ritha : " Na usukage misuko inayoficha hilo komwe, utakimbiwa" Mimi na Komwe langu sasa 😂😂 #Wcw
23
18
198
10,317
May 29
Yule demu kwa sababu ya maumivu sijui ndio ukweli au aliamua kumuumiza jamaa demu akasema "Kwanza huyo mtoto mwenyewe sio wako nime kusikisha tu huna lolote wew huna mtoto hapo ni wa mtu mwingine " Jamaa alipata maumivu makali akamuuliza unasema aje sijasikia vizuri Demu akasema mtoto sio wako huyo nimekushikisha tu jamaa aliishiwa nguvu akabaki amaduwaa akiunganisha matukio toka demu ana mimba misuko suko ya kumfumania na text na kumkuta anaongea na simu Jamaa alibaki amepigwa na butwaa tu kwa alicho kisikia akafungua mlango akatoka nje akawasha bajaji akateleza Akarudi saa kumi usiku akiwa kalewa baya kaingia ndani kalala kesho yake kukakucha salaam Ndani kukawa kimya tu hakuna kuongelesha jamaa akawa kmy tu ila juma tank jamaa akaanza kumuomba demu amusamehe na halita jirudia tena Wakaongea kumbe jamaa alikuwa na plan zake kwa huyo binti na mtoto maana haelewi elewi toka mimba ya kijana wao na majibu aliyo pewa siku wamegobana......... Bookmark inaendelea hapa hapa Follow my account 📥
2
2
407
Kuna aina tatu za wanawake .. 1. Mke- Mke, huyu ni yule unarudi home umebeba vya kubeba unamkuta mkeo amekaa balazani anasukwa , unapita hadi unaishia ndani ye hata hajigusi, unaoga, unakaa yeye anaendelea na misuko. 2. Mke -mke wenu,. Huyu yeye ukitoka tu , hata kama hana ishu ya maana na taarifa huna ila ukirudi ghafla humkuti nyumbani. 3. Mke -mkeo, huyu hata ukifukuzwa kazi na yeye akawa na akiba, watoto wakihtaji kitu, anakuja chumbani anakutia moyo then anakupa hela ili wewe ndio uwape watoto. Zembwela, kwenye moja ya mahojiano na Salama Jabil🗣
2
16
67
5,314
Shida siyo kukopa hiyoo 10m inshu ni huyo dereva kukuletea misuko suko
1
7
393
Dadazi; Ni simple calculations na understanding kuwa Boys huangalia kwanza standard ya demu kabla ya kuomba numerical na love. eg. Jobless tukikutana na Mdada kichwani minyoosho, No makeup just smart huyo ni affordable kwetu ila wale misuko ya 50 k ni kwa ajili ya Bourgeoisie😅🙌
10
19
40
826
CHACHA HECHE AZUA KIZAA ZAA USALITI BAADA YA CHADEMA KUPITIA MISUKO SUKO, AVITWANGA BILA HURUMA VYAMA 12, AVIBOMOA VIBAYA: youtu.be/YOBIN6Y1akk

5
15
2,564
Replying to @ItsMainaKageni
Quick recovery my friend Maina Tena tunafukuza kashetani ka ugonjwa mbali kabisa yarabi mpe Maina nguvu misuko suko za ugonjwa zipitie mbali ya yarabi
3
255
4. Anarudi kitaa tena. Sasa anaamua kubadili mchezo: “Ajira zimekuwa ngumu… ngoja nijiajiri.” Anaanza biashara ya kuuza vifaa vya simu , Laptop, na Viatu. Mwanzo: Anapata wateja wachache, Mwezi unaofata wateja wanaongezeka Anapata matumaini makubwa Baada ya miezi 3 anaanza kuona Faraja, Miezi miwili mbele anakutana na kipengele, Faida inaenda kwa kodi ya fremu Umeme, usafiri, na matumizi mengine vinaongezeka. Misuko suko mIpya inaingia: Simu na Laptop alizo nunua nyingi zilikuwa used sasa Return zinakuwa nyingi,mtaji wa Electronic Devices unapukutika, sasa Miezi imesonga TRA'ss Wanahitaji ajisajiri alipe kodi, na kashayumba kiuchumi, Wateja wateja wakaanza kubageni pesa ya chini zaidi kuliko bei ya chini kuliko aliyonunua, wateja wanaanza kulalamika,Wengine wanachukua kwa mkopo, wanapotea... Kijana anashindwa kupata faida mtaji unapotea akanza kupunga kula akawa Anakula mara Moja kubana Matumizi.... Cont... In next POST
2
2
22
2,953
Pamoja a Misuko suko yote hawa Jamaa wamepitiaga na Bado Mitaa ina Waelewa.,Itoshe kusema CHADEMA ni mpango wa MUNGU..✌🏿✌🏿🙌🏿🙌🏿
28
185
1,244
16,707
Unamtongoza Dem...anakuomba Hela Ukiwa mkali anasema Wanaume msio kua na Hela ndivo mlivo ,Anaanza kukuchamba Oooh tafuta hela ww ,watoto wazuri Kutumiliki uwe na sasampa. Dah...Mi naamini Kila mtu ana hela sema tunatofautiana viwango...Mm nnauhakika wa kupata Buku mbili kila siku ambalo halina kipengere cha madeni ,Mkopo,vikoba wala Misuko Suko.. Kwa everege yangu na mm nna hela, na kuna wengine hawana uhakika wa kupata buku 2 ,hata uhakika wa kula hawana ..kuhusu mbususu ndo hawana kbs wanapiga Nyeto tu.✍️😆 Kwahio nyie madem msitupangie cha kufanya Hela Tunatafuta kulingana na Kazi zetu...mm mfanya vibarua kitaa siwezi kukupa Efu 50k cash kwa sababu Naishi kwa bajeti na nnasheria kali dhidi ya Kutumia hizo Fedha. Siwezi kuvunja sheria zangu kisa ww...we sepa tu aseee....Siku ukijichanganya nakula bure hulambi hata mia.
1
7
3,976
Meli Haizami kwa Mawimbi ya KISENGE pamoja na misuko suko yote Bado wako Imara Ndo.kwanza wanaomba Tena Yani wapo fiti Kinoma dakika ni 120 wajomba Wana mbingu Yao
1
10
54
443
Maisha ya Mjini yana misuko suko mingi sna, embu oneni huu msuko suko 😀
6
18
124
19,290
Inakuaje mkaka awaza misuko 🙌 anyways janja kaza🙂
Replying to @official_kauzu
Mkali nafyonza hapa ila hiyo mama hapana alafu imesukaje?😪😪
1
2
337
Naongea na wewe ambaye unapitia magumu na unahisi unakaribia kukata tamaa Maisha ya mwanadamu yamejaa misuko suko mingi na hii ndio inatujenga na kukomaa zaidi Usichoke kuongea na Mungu wako juu ya uyapitiayo na usiache kupambania fursa zinazokuja mbele yako Mungu atakubariki🙏
5
22
53
956
Replying to @RealLoisMo
But hawa jamaa wameanza misuko suko na mokwamo about 15 years ago!
1
2
144