Joined April 2021
2,956 Photos and videos
Pinned Tweet
One day sleep will find me and it'll be deep,so deep that the world will call my name and i won't hear it anymore....cause at the end is always me, and me only.... ๐Ÿฅด
2
7
33
8,298
11:11
1
1
46
#Thread Leo nmekumbushwa kisa kimoja na Mama fua alikuja kugonga mlangoni kwangu akiomba kazi ya kufua,but i have my own though amesafiri,Nlikumbuka kuna siku niliamka mapema sana nkamuanda Ethan kwenda shule(Kindergaten),alivyofika sikurudi nyumbani cause i was desperate to have
3
18
636
Something for myself, i mean a job or money, basi nkawa nazunguka nyumba kwa nyumba kuomba kazi ya kufua nipate hela nirudi home, nkatoka nkapata kwa mantilie akawa anahitaji mtu wa kumsaidia nkasema hata hii inafaa as long sitakaa bure home wala kuwa tegemezi, so i had to call..
1
6
202
Him nmwambie nmepata kazi, kwa background nkasikia another woman akimuambia "Zima jiko, maji yashachemka" ๐Ÿ˜‚ sijui nacheka nini ila nlitaka kuwa kichaa, ni Neema za Mungu alinipa Utulivu. Anyway, ukipata kibali cha kuwasaidia pls do, the pain, the struggle.. End for Today.
5
155
Mkeka unapumumua mpaka sasa lakn cashouts inasoma kitita cha afu mbili๐Ÿ˜‚...#Goodmorning
3
2
26
603
Ila Kahawa Usiku sio nzuri kama unalala alone, hapa nmeshtuka maana nmeota nakimbizwa, moyo unaenda mbio kama nlikuwa kwenye Marathon za NBC, anhaa! ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ
5
6
69
2,551
Mpaka hapa nlipofikia, Maombi yangu nisi experience mahusiano na mwanaume kama Jonas, maana najiona nkipelekwa jela kabsa sijapata wajukuu...๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ anyway ngoja tumalizie tuone #Goodseries ๐Ÿ”ฅ
4
3
25
1,472
Hii ni Wolidikapu, akiwa raisi je au waziri... Naishaa, uwiiii! ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ๐Ÿ˜‚
19
526
Imagine sina hata wa kunisugua mgongo....๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ๐Ÿ˜‚
Hairuhusiwi mzee wa 1990-1999 kukaa mwenyewe bila msaidizi๐Ÿ˜†๐Ÿ˜…
1
15
446
"Wako mtiifu" itakuja kuniua siku wallah! ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ
2
1
12
361
Mambo kwa foleni...
He hasn't texted all day, must be the other girls turn today
1
14
869
"Mapenzi shida, Pesa ndo kabisa" nlikuwaga busy na kukata mauno "wahalade" acha nikule mauno๐Ÿ˜’๐Ÿ˜‚
1
23
562
Acha anitese bhanaa, Macho yake ni mazuri ๐ŸคŒ๐Ÿพ๐Ÿฅบ
3
14
522
Na kitu nmejifunza kutoka kwa Polisi ni "usilazimishe mtu akutafute, anaekutaka atakutafuta" ... #EasyMonday
3
8
48
1,023
Hawa warembo mbona kwenye Pirimia hawapo jaman...๐ŸคŒ๐Ÿพ Vifua vinaonekana Wolidikapu tu, sijui nmpeleke na shoga angu akawakilishe taifa๐Ÿ˜‚ @verocypher
How beautiful are the German women!๐Ÿฅต๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช๐Ÿ”ฅ
3
18
1,029
Nyeto huvisha najisi mwili, tena ukiwa maskini hata uwe smart vipi unakua na gundu kupitiliza kila ukitongoza utakua unapigwa za mbavu. Hiyo kukataliwa mpaka na vijuso huwa si bahati mbaya bali ni ile energy mbovu unayokuwa nayo ndani ya mwili. Soma 1 Wakorintho 6:18, 6:19โ€“20.
3
2
6
970
I had experience with my bajaji bolt...Kanichukua rainbow heading home,I started cry akaniuliza unalia nini binti, yes! He was old enough like my uncle,nkaaanza kuelezea my life,that old man akanipa matari wa biblia siukumbuki ila i think ni Isaya ngap ngap...I saw my Dad in him.
Was so drunk, I said goodnight and leaned over to kiss my Uber driver last night. Crying because why did he kiss me back??? โœ‹๐Ÿฝ๐Ÿ˜ญ
5
54
7,719
Kubabakee hawa Caracao wamepigwa 7 ๐Ÿ˜‚,
2
14
579
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Somebody will surprise you with a car this month ๐Ÿš™๐Ÿ™โœ…
1
1
9
795
Ila hizi nyonyoo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Leo nikeshe tu sikujuaga hii "It" ya Pennywise inatisha hv... leo nitaweweseka kama nina degedege๐Ÿ˜‚
5
200