Kwa 100W Fast charge una machaguo matatu ya kuchaji simu yako.
1. Smart Mode, Hii unachaji simu yako 0-50% kwa dakika 12 tu, Hii ikiwa ni mode inayopendekezwa kama unataka kuchaji simu yako usiku kucha maana ina AI inayoipa akili ya kuchaji 80% na kumalizia 20% ikikaribia asubuhi.
2. Hyper Mode, Hii inachaji simu 0-50% kwa dakika 8 tu, Hii inapendekezwa Ukiwa na haraka na simu yako haina chaji.
3. Low-Temp, Hii inapendekezwa kuitumia pale umetumia simu yako kufanya vitu vyenye uzito kama kucheza Games, Hii itasaidia kuchaji huku ikiwa imepoa. Lakini pia inaipa nguvu simu ya kuchaji hata kwenye mazingira yenye baridi sana.
#Infinixtanzania #NOTE40PROPLUS #TakeCharge247 #AllRoundFastCharge2_0