kusema ukweli imenugusa sana kufungiwa kwa Wasafi TV kwa kipindi chote hicho,,lakini upande wa pili crew nzima ya Wasafi Media hawana watu wa maadili ktk shughuli zote za burudani kwa stage,,(stagebackground)muda mwengne tunaweza laumu idara husika kwa Maamuzi waliyochukua🤨🤨