Muslim.. (Salafy)

Joined June 2011
2,980 Photos and videos
Kwani hii nayo ni sikukuu katika uislam?..
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakari Zubeir Ally amemuomba Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi kumshawishi Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ili mapumziko ya Mwaka Mpya wa Kiislamu Hijiryya yawe Nchi nzima. Mufti ameyasema hayo leo Juni 15, 2026 mbele ya Rais Dkt. Mwinyi wakati wa mwendelezo wa Maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu visiwani Zanzibar. “Mimi nitumie nafasi hii kwamba mapumzo tunayaomba pia na kule Bara yaenee kwasababu Nchi ni moja, hii inaitwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tunaomba na sisi ieneee Tanzania nzima kwa kuwa Dkt. Mwinyi amethubutu kufanya jambo hili, namuomba Mungu awape zaidi Taufiq na uweze kumshauri Rais wa Jamhuri hili jambo liweze kuzagaa na kwa jambo hili ni sababu ya moja kwa moja kupata daraja la juu katika pepo,”amesema Mufti Zubeir. Rais Dkt. Mwinyi ametangaza kuwa Jumatano Juni 17, 2026 itakuwa siku ya mapumziko kwa Zanzibar ili kuukaribisha Mwaka Mpya wa Kiislamu 1447 Hijirrya. #MillardAyoUPDATES
1
93
mKigoma ⚓ retweeted
Wakati wa mabomu ya mbagala wananchi waliambiwa wapishe eneo la jeshi lakini sasa jeshi wamepisha ICD. Maeneo wizara pale vetenary, ICD mpaka katika hifadhi ya reli ya TAZARA. Wenye biashara hii wana nguvu mno kiasi wamegoma kwenda Kwara na bado wanapata vibali…
Eneo la jeshi wameweka ICD 🙌.... Kigamboni ndio zinaota kama uyoga...
1
1
3
224
Mimi niliingia mfukoni nikagharamia kila kitu halafu nikaipanga iwaje. Wakafuta nnachotaka. Sikuchangisha yoyote.
As much as watu wengi wanatamani harusi iwe na watu wachache wa muhimu.. Kwa sisi Afrika bado ngumu sana, mzazi kachangia harusi kama mia hivi.. halafu wewe unataka kusema nini? 😂😂
252
Eneo la jeshi wameweka ICD 🙌.... Kigamboni ndio zinaota kama uyoga...
14
5
154
16,076
AIBU UTAONA WEWE... 😂
Ila Tanzania! Au basi 🤣🤣
4
6
1,355
JB muongeze
Watu maarufu bongo ambao hawajawahi kupata watoto 1. Steven Kanumba 2. Lady Jay Deee 3. Humphrey PolePole 4.Wema Sepetu Ongezea wengine.....
72
Tumpe Jide na Diva..
Gangstar Kabisa Kabisa …. 🫡🫡🫡 ASHINDIKENE’EE…!!!!!
1
1
121
Dar je?
kwanini sehemu walipoishi waarabu hakuna maendeleo?
1
104
Kwahiyo vijana wamegoma kwenda JKT 😂... Sema sawa tu mnatufundisha uzalendo halafu wajuu hawana uzalendo.
1
2
42
1,970
Walianza maridhiano now wanataka mdahalo.. Hawaeleweki wanataka nini..
2
64
⚽ Kama baiskeli tu ukijua umejua.. Team @RohoMbayaFClub 🪫🔌🏋️
7
159
mKigoma ⚓ retweeted
iPhone 16Plain E-sim Only Now Available Shop With Us
5
4
56
Jiji limejazwa police...
60
Donald Trump
When you think of the World Cup, who is the first player that comes to mind? 🏆💬
41
#Muislam Kwenye maisha yako ya kila siku jenga tabia ya kusoma Qur'an walau ukurasa mmoja au aya tano kila siku. Lakini kuwa na mapenzi na Qur'an ni bora zaidi.. Pia hadith na tafsiri zake.
12
73
1,258
#Muislam Swala la ibada ni lazima hatakama umefanya maovu ya kila aina. Na kutubia kwa Allah ni muhimu zaidi..
5
25
211
Wakati Chaz Hillary anatangaza mpira BBC we ulikuwa na umri gani?
TBC ingejikita tu kuonesha miradi ya Serikali, matatizo ya wananchi, mambo ya kurusha kombe la dunia WAACHIE AZAM, sio lazima kila kitu muingie. Mbona Sijawai sikia Shirika la Utangazaji la Uingereza BBC, au CNN, au Shirika la Utangazaji la Ujeruman DW au Aljazeera, wanarusha matangazo ya mipira.
123
Mwaisa @Sativa255 asiione hii 😂.. Afcon is loading....
🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: A massive protest has just erupted in Mexico, just 2 days away from the inaugural match between Mexico and South Africa. The huge number of protesters have blocked the main access road to the Estadio Azteca.
1
47
"we need to do better" na nani? Serikali ya CCM imeivuruga nchi na mifumo yao mibovu. Watoa vibali vya ICD ni kina nani/waouza maeneo ya wazi je? Na dodoma ishaanza kuvurugwa.
Dar is one of the ugliest cities in Africa. And the uglification is ongoing. There are very few places to go, relax and breath. Mfano, mchana mtu ukitaka kupumzika, kama siyo kwenda kwenye restaurants, unakwenda wapi? No respect even for future potential developments. Mfano, kama tunataka Sinza iwe high-rise locality in 20 years, it means lazima kuwepo na breathing spaces ndani na nje ya Sinza kwenye surrounding areas. But we are auctioning them. Utterly disgusting. We need to do better, au tuweke mamlaka maalumu na zinazojitegemea za majiji ili kuredesign, ku-budget na ku-redevelop majiji yetu. Manispaa HAZIWEZI. Siyo shida zao hizo.
83
Kuna mchina anatapeliwa hapa na hawa kausha damu.. Huruma aise.. 🙌
1
1
107