Teknolojia nzuri si anasa, ni uwekezaji.
Kwa nini ununue kifaa kinachokurudisha nyuma wakati unaweza kupata kinachoongeza kasi ya kazi, biashara na ndoto zako?
Karibu @icaretechnlogy , mahali ambapo teknolojia inakutana na thamani.🤝
Push your biggest ideas further with the Dell Precision 7875 ✨
@StorageReview breaks down how its latest upgrades help power AI, 3D, and high‑res video workflows with ease.
See what they found in their full review:
HP Pavilion 15‑EG3027TU — laptop ya kisasa kwa kazi, biashara na masomo
▪️Price: Tsh 1,499,000/= (VAT excl)
▪️Everyday performance: inafaa kwa Word, Excel, PowerPoint, emails, browsing na Zoom/Teams.
▪️15.6” comfort: screen kubwa inarahisisha kufanya kazi na documents, browser na online classes bila kubana macho.
▪️Modern premium look: inaonekana smart kwa office, nyumbani au darasani.
▪️Smooth daily workflow: chaguo nzuri kwa mtu anayehitaji laptop ya kuaminika kwa matumizi ya kila siku.
▪️Free installation: Office, drivers muhimu apps za msingi.
DM uagize sasa.
#HPPavilion15#EverydayLaptop#OfficeLaptop#LaptopTanzania#IcareTechnologyTZ
Unatafuta laptop ya kazi?
Hii ni mashine ya kisasa,ina kasi,nyepesi na inabeba kila kitu unachofanya kila siku bila kusuasua.
•Inafungua apps kwa kasi
•Inahifadhi kazi zako zote bila kujaa kirahisi
•Screen kubwa na clear kwa kazi au movies
cc. @icaretechnlogy
•Inafaa kwa office, biashara, chuo hadi online hustles
Kwa kifupi: ni laptop ya kuaminika kwa maisha ya kila siku 💻✨
Bei rafiki kabisa: 1,499,000/= VAT
Usikose, hii ni value halisi ya pesa yako 🤛🏼
Hii si mouse ya kawaida ni rafiki wa ushindi 🎮
Inakaa mkononi vizuri,movement ni smooth na clicks ni sahihi muda wote.
Inafaa kwa kazi na gaming.
Bei imeshuka kutoka 129,000/=- 69,000/=
Badili experience yako leo cheza na fanya kazi ki-professional zaidi.
Wacheki @icaretechnlogy
OFFER🚨
iPhone 17
256Gb-2,500,000
iPhone 17 Air
256Gb-2,700,000
iPhone 17 Pro
266Gb-3,550,000
512Gb-3,800,000
iPhone 17 Pro Max
256Gb-3,750,000
512Gb-4,150,000
E-sim only
☎️0652795468
Ukishika Lenovo X1 Carbon Gen 9, unashika kasi,ubora na heshima in 1 piece Ni nyepesi kubeba,lakini performance ya kibabe,perfect kwa kazi,biashara, na hustle zako kila siku.
•Kasi ya kisasa •Muonekano wa kifahari
Na bei? Iko chini kuliko unavyodhani 😉
Njoo @icaretechnlogy
Kazi zinasogea mbele pale unapotumia kifaa sahihi
Chagua ubora wa Lenovo kupitia ThinkPad X13 Gen 2 ndogo,nyepesi, yenye nguvu kubwa
•Performance ya uhakika •Kasi ya kisasa kwa kazi na biashara •Muonekano wa kitaalamu🙌🏼
👉Order sasa,delivery bure zawadi juu.
@icaretechnlogy
Lenovo X1 Carbon Gen 9 flagship ultrabook kwa business na executive use
▪️Price: Tsh 1,049,000/= (VAT excl)
▪️Ultra portable: nyepesi sana kubeba kwenye meetings, office na safari bila usumbufu.
▪️Premium business look: inaonekana classy na professional mbele ya wateja, management na kwenye presentations.
▪️Office ready: inafaa kwa Excel, Word, PowerPoint, emails, Zoom/Teams na multitasking ya kila siku.
▪️Reliable everyday performance: choice nzuri kwa professionals wanaotaka speed, portability na muonekano wa kisasa kwa pamoja.
▪️Free installation: Office, drivers muhimu apps za msingi.
DM uagize sasa.
#X1CarbonGen9#LenovoThinkPad#BusinessLaptop#LaptopTanzania#IcareTechnologyTZ
Lenovo ThinkPad X13 Gen 2 compact business ultrabook kwa kazi na mobility
▪️Price: Tsh 1,049,000/= (VAT excl)
▪️Compact & portable: size yake ni perfect kwa kubeba ofisini, meetings, field work na safari.
▪️Business-class look: inaonekana professional na imara kwa matumizi ya kila siku ya kazi.
▪️Office ready: inafaa kwa Excel, Word, emails, PowerPoint, Zoom/Teams na multitasking ya kawaida.
▪️Reliable workflow: chaguo nzuri kwa professionals wanaotaka laptop ndogo, smart na ya kuaminika.
▪️Free installation: Office, drivers muhimu apps za msingi.
DM uagize sasa.
#ThinkPadX13Gen2#LenovoThinkPad#BusinessLaptop#LaptopTanzania#IcareTechnologyTZ
Stand ya 3-in-1 ni zaidi ya holder,ni speaker yenye sauti safi,power bank ya kukuweka online muda wote,na design inayokupa uhuru wa kutumia simu bila mikono.
🎵 Sikiliza kwa ubora
🔋 Chaji popote
📱 Tumia kwa urahisi
Upgrade your lifestyle na @icaretechnlogy
Hii sio stand ya laptop tu,ni upgrade ya Kazi zako:
✔️ Inainua laptop yako,kuepuka maumivu ya shingo ✔️ Inapooza haraka ✔️ Inazunguka 360°,rahisi kushare na kufanya kazi freely ✔️ Nyepesi &inakunjika
Kwa wale wanaochapa kazi kweli comfort sio luxury,ni lazima.
@icaretechnlogy
HP ProOne 240 G10 All‑in‑One brand new clean setup kwa office ya kisasa
▪️Price: Tsh 2,499,000/= (VAT excl)
▪️Brand new confidence: unapata kifaa kipya kabisa, clean na tayari kwa kazi za kila siku.
▪️Space saver: monitor CPU pamoja, hivyo desk inabaki nadhifu na professional.
▪️Perfect kwa office work: inafaa kwa Excel, emails, invoicing, stock management, customer records na daily business tasks.
▪️24” screen comfort: inarahisisha multitasking ya browser, mfumo na reports bila kubana macho.
▪️Executive look: nzuri kwa reception, front office, accounts na biashara zinazotaka muonekano wa kisasa.
DM uagize sasa.
#HPProOne240G10#AllInOnePC#OfficeSetup#BrandNewPC#IcareTechnologyTZ