Joined December 2024
65 Photos and videos
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma leo ametembelea ofisi za Bodi ya Ithibati jijini Dar es Salam na kusisitiza usimamiaji madhubuti wa utekelezaji wa Sheria ya Huduma za Habari, nidhamu, maadili na udhibiti wa wanaofanya kazi bila Ithibati.
9
Kumbukumbu mwaka mmoja tangu kuzinduliwa #ithibatitz #ithibatikidijitali
7
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
9
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, akijibu hoja mbalimbali za wadau wa habari wakati wa majadiliano baada ya kuwasilisha mada kuhusu umuhimu wa ithibati kwa waandishi na watangazaji wa habari nchini.
1
10
...katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Vyombo vya Utangazaji (ABC) uliofanyika Februari 13, 2026 jijini Dodoma.
8
Happy Birthday Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
8
TAARIFA MUHIMU KWA WANAFUNZI WA VYUO
5
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI #ithibatitz, #ithibatikidijitali
9
8 Dec 2025
Ujumbe wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusu Maadhimisho ya Sikukuu ya Uhuru.
14
3 Oct 2025
14
14 Sep 2025
12
13 Aug 2025
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari-JAB Wakili Patrick Kipangula akimkabidhi Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Presscard) Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya BSM Washauri (TZ) na Mhariri Mkongwe Bakari S. Machumu, 13 Agosti, 2025.
2
1
3
103
13 Aug 2025
Machumu ni miongoni mwa waandishi waliopokea vitambulisho vyao leo na ameonesha furaha yake kupata Ithibati na Kitambulisho hicho akibainisha kuwa anajisikia fahari kuwa miongoni mwa Waandishi wanaotambulika rasmi kwenye taaluma kwa mujibu wa sheria.
21
12 Aug 2025
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari-JAB Wakili Patrick Kipangula akimkabidhi Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Presscard) Meneja Mwenza wa Kampuni ya The Media Brains na Mhariri Mkongwe Absalom Kibanda leo tarehe 12 Julai, 2025 jijini Dar es Salaam
1
1
17
12 Aug 2025
Akizungumza mara baada ya kupokea kitambukisho chake Kibanda amesema, anajisikia fahari kuwa na Kitambulisho hicho kinachompa ari na kutembea kifua mbele akiwa ni mwanataaluma aliyekidhi vigezo ya kisheria. #ithibatitz #ithibatikidijitali
12