#TheOverflowconcert Mungu ametupa nafasi nyingine ya kuandaa event hii ya kumshukuru Mungu wetu kwa ibaada kubwa inayoenda kwa jina la THE OVERFLOW CONCERT Tunaomba maombi yenu tunapoendelea na maandalizi haya Kwa support yoyote kwa mawazo yoyote Tupigie 255767869090.
youtu.be/tm66Z8RKAr4 JUMAPILI YA LEO BARIKIWA NA WIMBO HUU #WEWENIRAFIKI . Wewe ni Rafiki yangu wa Karibu ,Nitaimba sifa zako Yesu,Nafsi yangu, kwa nini kuinama, Na kufadhaika ndani yangu? Umtumainie Mungu; Kwa maana nitakuja kumsifu, Aliye afya ya uso wangu.