Green chemistry| Biosolutions| Mkulima |

Joined June 2020
33 Photos and videos
Pinned Tweet
I’m available for new work. Use this link to create a proposal with me using Direct Contracts by Upwork. upwork.com/workwith/misalaba

423
Sr. Misalaba retweeted
31 May 2018
How to Get Rich (without getting lucky):
11,138
78,845
273,361
Sr. Misalaba retweeted
Mlivyokazana kupost β€œwaliokutafuta Ndio watu sijui nini” mbona Wewe hujatafuta wenzako? Alafu unataka utafutwe? Entitlement zinawatesa sana!! Mimi umenicheki, hujanicheki fresh tu, kikubwa unapumua huko ulipo! Kikubwa ni uhai. Mengine ni ziada tu.
39
168
947
50,283
Sr. Misalaba retweeted
22 Oct 2025
Ambassador of the EU πŸ‡ͺπŸ‡Ί, together with Ambassadors of its Member States, met with Hon. Mahmoud T. Kombo @mfa_tanzania for an open and constructive dialogue on current political developments in Tanzania, including the upcoming elections, democratic principles, and good governance.
57
36
122
15,778
Replying to @chapo255
Ukifikiria vizuri dhana ha kwamba β€œHujali kuhusu watu” ni Uongo. Unajali ndio maana unapiga picha 100 hupost zote 100 unapost moja ambayo watu wataipenda. Unajali kuhusu wao ndio maana unachagua nini una-share na nini huta-share.. ndomana unaforce wakuelewe kinamna fulaniπŸ˜…
3
3
27
1,346
Sr. Misalaba retweeted
27 Jul 2025
Wakati sisi tunaunda bodi ya umwagiliaji kila wakati bila tija, Wenzetu wa kenya haya mashamba ya mahindi ni matokeo chanya ya @Irrigation_Auth ina control mifumo ya maji yote Kenya na kuhakikisha yanafika kwenye mashamba, Few years to come Kenya haitanunua mahindi Tanzania
6
9
41
3,096
Sr. Misalaba retweeted
Kupunguza gharama za watu kuoana, mnakutana familia, mnapanga shughuli moja ya harusi. Achaneni na mambo ya Sendoff na Kitchen party. Financially inafaa kila upande.
38
71
863
50,761
Sr. Misalaba retweeted
**Family Portraits**
35
30
448
15,998
Watu wengi wanaosemaga sijui Mental health, sijui story za Afya ya AKILI, wao wenyewe ndio wana shida ya Afya ya AKILI.
14
7
113
9,158
Sr. Misalaba retweeted
Dr. Elizabeth Nyakarungu ni mmoja wa Watanzania wanaopeperusha Bendera ya Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ huko Equatorial Guinea πŸ‡¬πŸ‡Ά akiongoza Maabara ya Nchi hiyo kama Labaratory Manager-Barney Rederence Labaratory. Tunajivunia wewe Elizabeth πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‘. Asante Mh Rais Samia kwa kuendelea kutufungulia njia na kuamini vijana wa kitanzania wana uwezo #healthdiplomacy #kazinautu #TanzaniatoAfrica
11
11
51
4,693
Sr. Misalaba retweeted
Cheers to new beginnings!!! I am truly grateful for the 4 years that I was entrusted by the United Republic of Tanzania to head the National Public Health Laboratory as the Director. As I commence my role with GIZ- African Union/Africa CDC as an AMR Technical Officer,...
67
51
435
24,613
Sr. Misalaba retweeted
Inapotokea Mungu amekubariki Neema ya kipato kizuri uwe na hakika atakupa na watu watakaotegemea msaada wako🫡nimegundua kuwa mara nyingi BARAKA tunazozipata kwa MUNGU sio za kwetu pekee bali na watu wengineπŸ™πŸ€
2
14
110
1,658
Sr. Misalaba retweeted
Replying to @gabyconscious
Programmable cryptography- inaeza tumika nje ya blockchain na ukawa una build application or system ambazo unaeza prove na ku verify kama kitu fulani kimetendeka. Hii inaeza kuwa integrated na banks, NGOs, Data pipelines etc. Na pia safe and privacy tracking application. Ya pili. Memory Transaction tracking and price prediction. Kuweza ku track and analyse transaction zilizopo kwenye memory pool ya blockchain na kuweza ku predict zitakua na effect gan zikishakua executed kwenye price ya token. Ya tatu: uwezo wa kuuza my belief on something. If kuna kitu ambacho nakiamini ni kizuri. Wether ni product or service naeza kufanya uki believe piaπŸ˜…. Ya nne: acrobatics Ya tano: kueza kuelewa kitu kipya kwa haraka na kuki relate na kitu ambacho nakijua tayari
1
4
35
1,634
Projection ya Miaka 10 ijayo...
Replying to @Scobleizer
What will humans be doing in 10 years? 1. In a decade most people will not be driving. What will we do instead? 2. In a decade most people will have robots in their businesses and probably their homes. 3. In a decade we won't be looking at 2D monitors much anymore. 4. In a decade we will be using a ton of brain/computer interfaces to work and play. 5. In a decade AI will be making us all more productive, and, even, happier. It will be reporting our news. It will be running our businesses. It will be helping us with our health. It will be helping us build. It will help us design new things, new products, new ideas, new lifestyles, new experiences. 6. In a decade we will still be needed to work, but on new things that are hard to imagine today. 7. In a decade we will have dozens of virtual beings in our lives. And your AI will bring new ones into your life depending on your goals. Want to learn Spanish? A new group will show up that are different than the group that will show up if you want to learn Chemistry. 8. In a decade new brain/computer interfaces will be here, and will merge humans with AIs in many ways. 9. In a decade our corporate structures will change to be a hybrid of humans and AIs working together. 10. In a decade a robot will attend our city council meetings and report to us about what's going on inside. 11. In a decade we won't use applications, like we do today on our iPhones. We will have a singular user interface. On Star Trek you just said "computer do this" and it did. Star Trek will be real in a decade. 12. In a decade we will have armies of robots and drones moving around our cities doing everything from deliveries to giving tours to tourists. 13. In a decade we still will have artists and storytellers, but they will be assisted by AIs to help make that art, and tell that story. AI's will gather other AIs who will warn the humans that someone is telling an interesting story. 14. In a decade AIs will still be asking humans for assistance. "Hey human can you get a better view of the house that's on fire across the street?" 15. In a decade AIs are assisting humans in coming up with new medical and material breakthroughs. Even designing new computing architectures, whether Quantum, or silicon, or biological, or a hybrid of all three or even something even newer. I'm already living this way, always talking with Grok. "Hey Grok, what am I missing?" It laid out 10 other shifts that I'm missing: x.com/i/grok/share/d1UrI6g97…
26
Sr. Misalaba retweeted
16 May 2025
πŸ€²πŸΎπŸ€²πŸΎπŸ€²πŸΎπŸ€²πŸΎπŸ€²πŸΎπŸ€²πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ€²πŸΎπŸ€²πŸΎπŸ€²πŸΎπŸ€²πŸΎ
11
26
425
42,939
Sr. Misalaba retweeted
Alisoma Kibaha boys na Benjamin Mkapa Kisha Chuo UDSM. Kijana kiongozi aliyepata mafunzo Egypt, Korea, Kenya, China na Marekani. Leo ameshare panel na Rais Jakaya kwenye tukio la ujio wa Rais wa Finland. Joseph Malekela ni mfano halisi wa kijana mpambanaji aliyeanzia Chini.
32
33
755
46,319
Sr. Misalaba retweeted
Nimeungana na wajumbe wenzangu wa Bodi ya Sauti ya Vijana @EUYSBTanzania katika mjadala na vijana waliohudhuria wiki ya ubunifu #IWTz iliyoandaliwa na @undptz pamoja na @EUinTZ pale JNICC, Dar es Salaam. Imekuwa fursa muhimu kubadilishana uzoefu na fursa za maendeleo kwa vijana.
1
9
43
1,250
Sr. Misalaba retweeted
16 May 2025
Nitakuwa nikizungumza Leo hii katika #InnovationWeekTZ kuhusu changamoto na fursa kwa vijana wabunifu tuliopo nje ya miji mikuu tutatoboajeπŸ˜€ Karibu tujadiliane!
Youth innovators and youth led startups outside major cities in Tanzania. What are the challenges and opportunities? What do you think? 🧐 Come and be a part of this dialogue to be shared by @Said_Hozza , Founder of Taifatek on the 16th of May during #InnovationWeekTZ
5
5
21
777
Sr. Misalaba retweeted
Nafurahi kuwa sehemu.ya wanajopo, nikiungana na Katibu Mkuu wa @jumuiya na Rais Mstaafu @jmkikwete kuangazia jitihada za kudumisha amani, katika semina ya kumuenzi Marttii Ahtisaari, Rais wa zamani wa Finland. Nimesisitiza ushirikishwaji wa vijana ktk jitihada za kuleta amani.
9
16
100
3,992
Elimu ipo, kazi hazipo? @VenanceMajula anasema vijana tunaweza kujiposition kupata fursa hata kama elimu haifanani na soko la ajira. Tukutane Ijumaa | Saa 3-5 Asubuhi | Youth Dome – JNICC πŸ“ #InnovationWeekTZ #EUYSBTanzania #FursaKwaVijana @EUinTZ
1
5
10
725