ni kama unasikiliza wimbo tu kawaida na sio live,uzinifu tu kwa watoto umemuangusha ila huyu ni mwamba,Je mtumbuizaji wako bora unaangalia nini kwake?
Cc @masterjtz
@kuvifacts
Kuna kijana anasema master Jay hajawahi fika huko uingereza ..
πππππ..
Vijana jibuni kwa hoja ..au inawezekana hamjamwelewa.. Huyo Mwamba unyamwezini ameanza kwenda toka enzi zile Zanzibar sisi watanganyika tunaenda kwa kutukimia paspoti! ..
πππππ wee mzee @masterjtz leo siku isiishe bila kuchekaππ,halafu kuna mwingine kasema hujui unachokisema maana huujui mziki wa bongoπ€£π€£π€£π€£π€£
Ila ukweli usemwe umesikiliza ile clip harmonize akiimba master j akamwambia hajui kuimba? Alikua hajui kuimba kweli...sema apongezwe kwa jitihada alizofanya baada ya hapo ila Master J hakukosea.
Hii 40 Missed Call ya #Rapcha Chupa lake kali sana hii ni MOVIE π₯.Nimependa @masterjtz alivyovaa uhusika na Zaylissa. Kiukweli ni bonge la chupa. Haijamaliza hata Dakika 10 toka liwekwe youtube. Nenda kalichek. @P_Majani ππΏ
youtu.be/QKGuCJM_SU8?si=v0Clβ¦