C.E.O And Founder of Donberry Furnitures| Businessman | Philanthropist | Commentator and a Detective by profession. For Business call/Whatsapp 0758022619
Mimi naye kama singewai kuwa na kazi ya kufanya ningekuwanga mlevi 24 7 sababu sasa ebu niambie, ni saa ngapi hii niko locals sababu tu ya means of transport 😂😂
Jana nilinunua mzinga ya Kc ginger nikangia nayo kenjani alafu nikachase na fanta,Walai sijawahi skia kitu chungu kama hiyo..ilinibidi nikule blunts pekee nilale🙌
Nakumbuka nikihamia my first house, landlord aliniuliza vitu zangu ziko wapi, nikamwambia zinakuja na gari later which was a lie😂😭. All I had was my karatasi ile kubwa ikiwa na nguo zangu tu😂😭
God is so good.