Kuhusu ushiriki wetu kwenye COP28, tumezungumzia maeneo gani ambayo tupeane nguvu kwenye mkutano ule. La muhimu zaidi, tumewaomba watusaidie kuzungumza na kutupa nguvu katika kuhakikisha kuwa lile tunaloenda nalo Tanzania, suala la nishati na nishati safi ya kupikia, lipate nguvu na tupate msaada kwa nguvu zote. #RaisIohannisTz
Matokeo yeyote ya mpira inayoendelea iwe chachu ya kujifunza vitu kadhaa na kuvitekeleza na vilete tija
1.Uwekezaji uwe wazi na uzingatie mambo yote muhimu.
2.Mikataba iwe wazi pamoja na gharama zinazotumika
3.Makocha wawe huru kupanga timu na si vinginevyo.
Ma Dj's mnazingua wakati huu wa World Cup kutwa mpo busy na kutuwekea sauti kubwa ya muziki wakati wengi tungependa kusikiliza matangazo ya mpira kombe la dunia.
Rafiki unajisikiaje napopiga simu haupokei, sms haujibu lakini kutwa upo online unapost na kuwasiliana na wengine....dont blame for my next move soon!
#hustler#selfmade
Kuna umuhimu wa kuwa na somo la huduma ya kwanza na uokoaji kuwa ni lazima (compulsory) kwa elimu ya msingi au sekondari hii itasaidia sana pindi majanga yanapotokea.