Joined October 2020
216 Photos and videos
Pinned Tweet
"Hasta la victoria siempre" Usikate tamaa hata kama mambo ni magumu // Mapambano hayaishi mpaka ushindi upatikane.
3
286
LIVING OLOMY retweeted
Kwenye maisha kuna kuumia, kuchoka, kuanguka, kulia, kujutia na kupoteza. Kitu cha muhimu ni kuwa na ujasiri, ushupavu, uvumilivu na ustahimilivu nyakati zote. Huku ukiendelea kumtumaini Mungu kwa sababu hakosi namna sahihi ya kukuvusha.
1
3
233
LIVING OLOMY retweeted
Nyakati ngumu huwa hazidumu ila huacha kumbukumbu ambazo ni funzo na mwanzo wa mabadiliko.
1
3
222
Live your life, be grateful to God for what you have, don't lose hope because of difficulties, and keep striving to achieve your goals.
1
14
Ishi maisha yako, mshukuru Mungu kwa ulicho nacho, usikate tamaa kutokana na matatizo, na endelea kupambana ili kufikia malengo yako.
1
2
25
Giving up is not an option // Kukata tamaa si chaguo.
1
85
Tabia zina mchango mkubwa sana katika mafanikio yako na kukusaidia kutimiza malengo yako kwenye maisha. Siri ya mafanikio yako, imejificha katika tabia zako za kila siku.
2
115
Zima hisia, Washa akili.
2
60
Enjoy the process // Furahia mchakato.
2
54
Yote yawezekana kwa Imani.
2
56
LIVING OLOMY retweeted
Replying to @olomy13
Amina 🙏
1
1
1
45
Anza na Mungu, endelea na Mungu, maliza na Mungu.
1
4
41
Kushindwa ni sehemu ya safari ya mafanikio.
3
132
Unavyojifunza zaidi, ndivyo unavyojua mambo mengi zaidi. Usiache kujifunza kitu kipya kila siku.
2
69
Licha ya vikwazo vyote, simama imara na endelea mbele, pia usiache kumtanguliza Mungu.
3
67
Kuamini unaweza ni hatua muhimu ya ushindi wako.
3
65
Each time you fail, remember that life is full of second chances. Don't be afraid to start over and make things right.
2
39
Zitakuwepo nyakati ngumu kwenye maisha yako ila hazitadumu, usiache kusali na kuvumilia.
3
34
Trust the process, results will come when time is right // Amini mchakato, matokeo yatakuja wakati sahihi.
2
50