Official account of Orbit Securities Co. A leading Stockbroking firm, Member of the Dar es Salaam Stock Exchange and Authorized Dealer of Government Securities.

Joined July 2018
178 Photos and videos
Pinned Tweet
Mfuko wa INUKA Money Market, unaosimamiwa na Orbit Securities ni mfuko unaotoa fursa ya kipekee ya kuwekeza kwenye amana za muda mfupi na hatifungani katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).
4
3
36
3,057
Inuka Fund ni mfuko wa uwekezaji wa pamoja unaowezesha Watanzania, kampuni, na vikundi kuwekeza kwa usalama kupitia usimamizi wa wataalamu wa Orbit securities chini ya uangalizi wa Serikali.
1
2
22
1,956
Mfuko huu unawekeza kwenye amana za muda mfupi, hati fungani za Serikali na kampuni binafsi ndani ya Tanzania, EAC na SADC. kima cha chini cha uwekezaji ni TZS 10,000 Wasiliana nasi Sasa kupitia ๐Ÿ“ง inuka@orbit.co.tz ๐Ÿ“ž 0743677873 / 0711803634
2
1
10
1,213
Faida za Uwekezaji: โœ… Hakuna gharama wala kodi za kuingia na kutoka โœ… Faida ya soko inayofikia 12% kwa mwaka โœ… Usimamizi wa kitaalamu na usalama wa uwekezaji wako โœ… Vipande vinaweza kutumika kama dhamana ya mkopo Kima cha chini cha uwekezaji
1
12
1,008
Mfuko wa INUKA Money Market, unaosimamiwa na Orbit Securities unatoa fursa ya kipekee ya kuwekeza kwenye amana za muda mfupi na hatifungani katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).
Rais wetu Eng. Hersi Said leo alipata wasaa wa kualikwa kwenye uzinduzi wa mfuko wa soko la fedha INUKA Money Market Fund, inayoendeshwa na Kampuni ya @orbitsecurities INUKA Money Market Fund ni mfuko wa kwanza wa soko la fedha, unaokuwezesha kuwekeza kuanzia kiasi kidogo cha fedha nchini Tanzania, na katika nchi za Afrika Mashariki na SADC. ๐˜๐€๐๐† ๐™ฬŒ michongo ndo hii sasa tukutane Jumamosi๐Ÿ‘Š๐Ÿฝ #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
3
3
28
2,541
Orbit Securities Co. Ltd retweeted
2
72
152
17,450
Licha ya kwamba DSE ni soko, ila pia ni moja ya Kampuni zilizoorodheshwa katika Soko la Hisa. Kampuni hii ina vyanzo kadhaa vya mapato ikiwemo: ๐Ÿ‘‰๐ŸฟAda za Kuorodhesha (Listing Fees) ๐Ÿ‘‰๐ŸฟAda za Manunuzi (Transaction Fees) ๐Ÿ‘‰๐ŸฟAda za CDS (CDS Fees) ๐Ÿ‘‰๐ŸฟMapato ya Uwekezaji
2
11
30
2,516
Fursa hii ni kwa: โœ… Watu binafsi / Wenzi โœ… Makundi ya kijamii kama VICOBA โœ… Makampuni Wekeza sasa na ujipatie faida nzuri kwa muda mrefu! #InvestingNeverStops ๐Ÿš€ Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi kupitia: ๐Ÿ“ž 255 746 848 301 | 255 785 137 883 โœ‰๏ธ orbit@orbit.co.tz
2
1
18
1,447
Orbit Securities Co. Ltd retweeted
21 May 2024
1
2
5
1,737
Maokoto kwa wawekezaji wa @NMBTanzania
2
7
33
2,869
TGIF Click ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ to join: x.com/i/spaces/1OdKrjvEeleKX
2
2
22
1,569
#MoneyChat#UwekezajiSokoLaHisaDSM๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1
11
1,172