A FATHER || ASSERTIVE Bros || CONTENT CREATOR || HARD WORK PAYS.

Joined September 2020
2,226 Photos and videos
Pinned Tweet
24 Apr 2023
Mwanaume ukijitambua vizuri utagundua kuwa, Haitoshi kuamini unapendwa kwa kuambiwa au kwa text like "NAKUPENDA" Mwanaume hapendwi bali anaheshimiwa, Bro ukiheshimiwa utapenda tu Ndio maana we choose to marry mid girls with respect, hawa classy ladies tunatumia kama Path.
252
1,366
5,218
1,196,011
Mie nishadaka huku MPANDA. Hii saa ninayo mimi PEKEANGU Mpanda nzima.
UBAONI: 70,000/= . Njoo Whatsapp CHAP nifanye delivery ๐Ÿ›๏ธ: 0743931620
2
3
9
708
1. Usimfiche mkeo kuwa una mtoto nje (specifically uliyempata kabla ya kumuoa) 2. Usisite kumwambia mchepuko kuwa una mke (in case akiuliza yeye) 3. Mkewako hatakiwi kumjua in person mchepuko. Hizi mambo tatu huwa zinaharibu sana maisha ya ndoa. Umakini unahitajika.
9
38
286
9,032
Hizi post zinashida gani. 29.4.2026 nasema huwa sifanyi. Watu wakasema yao na kuniona mshamba. 3.5.2026 nikatoa feedback kwa waliosema hao wanawake wenyewe wanapenda. Shida ipo wapi hapo? Kwamba nimejichanganya.
8
4
27
3,331
Msimbe mmoja mwenye mtoto ana 1.5 yrs. Alipokea mipini mpaka mida mibovu na hawazi. Ikabidi sasa mimi ndio nimuonee huruma mtoto. Nikaahirisha dozi nikamwambia aende huko kwa kijana wake. Wasimbe wengi sikuhizi hawana love kali kwa watoto wao.
10
10
257
12,476
Sivuti bangi. Sinywi pombe. Sivuti sigara. Sio mtu wa ujana mwingi. Elimu ya darasani ipo kutokea UDSM. Ila currently niwaambie. Hawa madogo wanaovuta bangi na ma sigara halafu wanaimba live kwenye majukwaa. Wanaweza sana na nawasikiliza sana, madogo wanaimba tuonayo.
22
32
466
18,030
Baada ya kuvaa Long sleeve shirts katika kazi zangu za juani for two months.
14
3
125
7,701
Kuna namna baadhi ya wanaume tumshukuru Mungu kwa kutuheshimisha kama wanaume. Keeping other factors constant. Kuna sisi amba hatukai miezi mitatu na mwanamke asishike mimba. Yani ukigusa mara mbili mara tatu unaambiwa mimba Halafu. Kuna wale wanapiga 2 years of being calm. Hakuna mimba na wanatafutaga mtoto. Yote ni mapenzi ya Mungu.
11
19
130
7,523
Mpina ahamie CHADEMA. Wasukuma wanalielewa sana hilo li jamaa. Litasaidia sana. Majamaa wamuweke kati, akili anazo. Gwajima asogee, tutasimuliaga watoto wetu.
31
68
914
18,054
Kupokea hao wanachama mi sioni kama ni shida. CHADEMA iko sawa. Acha waongeze nguvu. Lissu Heche Lema Bonny Mnyika Golugwa Sugu Hawawezi pekeyao. Wanahitaji kuvu hata mikoani. Iringa wanae mchungaji. Kanda ya ziwa aingie ngosha wao Mpina. Hao kina ASSENGA waweke uzito. Lissu aje uraiani. Moto utawaka sana.
18
38
364
12,867
Peter Madeleka tumuamini au ni maelekezo.
44
14
321
22,089
Halopesa app haifanyi kazi mpanda tuu au kote.
12
1
73
5,144
Nimeamini kweli kwenye ndoa zenu kuna watoto wetu.
11
8
79
3,550
Single mother wapo likizo sasa. Kiangazi mchangamko. Hakuna kupumzika. Leo sipo kazini. Kwahiyo naitumia siku ya leo kuwaataarifu kuwa nitashinda nafanya mapenzi. Endeleeni kuuwana humu.
8
10
136
6,216
Hela unayompa mwanamke wako make sure ni surplus ama excess yaani haufikirii kwamba umempa iongeze upendo au kingine chochote, give her halafu usiweke expectation. Ile ya kuachana na kuanza kujutia ulivyompa haifai. By the way kumpa mke ni sheria.
6
30
206
4,264
Tweet like Madenge. Amezaliwa, marekani kasomea sheria chuo kikuu cha Dar es salaam, akafanya kazi katika Taasisi mbalimbali ikiwemo uhamiaji Kwa sasa ndiye mwenye takwimu za histori za watu maarufu wote Tanzania๐Ÿ˜‚
18
12
333
16,286
Kamwe usimfanye mwanamke wako awe juu yako. 1. Kama ujasoma, usimsomeshe 2. Usifungue biashara kwa majina yake 3. Epuka kufungua account ya pamoja ya kifedha na mwanamke wako. 4. Kaa mbali na pesa za mwanamke wako 5. Tafadhari mbali na wanawake wenye watoto Kama hauna mtoto/watoto/haujawahi kuwa kwenye ndoa kabla. 6. Usaliti ni suala lisilo sameheka kwa mwanaume mwenye utimam.
6
26
210
9,585
Mwanaume ili ukae kwa utulivu kabisa unahitaji pesa. Dunia haiko fair kwa mwanaume asie na pesa. Mavazi pekee ya mwanaume ni gharama hata akiwa mtoto. Mwanamke wako anahitaji kuhudumiwa, watoto wanataka ulipe ada bado nyumbani kwenu kama sio kuzuri wanahitaji kitu. Pengine hujasikia popote ila mwanaume unafaa kutokata tamaa, faida ni faida hatakama ni ndogo shida ni matumizi. Age should matter kwenye kushika pesa, uhalisia ni kwamba 20s mpaka early 30s hazikuruhusu kuwa tajiri unless una backup ya wazee au we ni tapeli. Hao wenye pesa pia at that age tulikua hatuwafahamu, amini katika process huku ukiona progress zako. Enyewe kama bado unalizwa na mapenzi wakati bado haujawa vizuri kiuchumi, be blessed with a middle finger bro. Mwanamke unaemlilia atasomesha watoto? Atalisha familia? Lakini vipi kuhusu pesa unazotafuta leo zitakusaidia mambo mangapi? Usiache kufanya mapenzi na usiache kuomba msamaha unapokosea but don't over do.
12
37
216
6,483
Mwanamke akikupenda vizuri automatically anapoteza sheria zake nyingi juu yako. Hatokuwa na sheria kali juu yako ikiwa lengo ni kukufurahisha. Kama ni wa kishu atatafuta nafasi ya kuja kwako kwa namna yoyote ile. Hakuna zile za mpaka unioe. Atakuhurumia kama mwanaume muda wote. Tukienda na uhalisia, kuna wanawake wanameza mpaka dawa za kuzuia period ili tu akufurahishe. Wanawake wako loyal sana katika hisia zao.
20
54
353
11,181
1000%, wanaume ukiwa na wakati mgumu, emergency Utapigia mwanaume mwenzako simu kwanza Ata ukiwa na mke, you'll either call your father/ brother/ best friends/ uncles first, wife ni baadae MEN TAKE CARE OF MEN Official sources have confirmed that this is true.
4
39
303
5,668
One kid last year. Two missed period this year. Putting into consideration some narratives like. 1. Kitanda hakizai haram 2. Mtoto anakuja na sahani yake. 3. Watoto ni baraka. Then boom reality thinks in. Bro you should get money. Ngachoka kabisa.๐Ÿ˜
7
13
133
3,738