Mbunge wa Mavoko, Patrick Makau, amesema serikali inapaswa kukubali kwamba Linda Mwananchi umeingia kwenye ushindani wa kutafuta kiti kikubwa nchini, na hivyo ni lazima kuwe na uwanja wa kisiasa ulio sawa kwa kila mmoja kuelekea uchaguzi wa 2027.
#NTVAdhuhuri @ruga_eval