Settlo (The SME's Financial Platform) The #1 Biz Record Keeping in TZ! Everything a Small Business needs to Grow Records Keeping | Payments | Credit Access
Endesha biashara yako ki PRO Na Settlo,
Simamia mauzo, wateja na malipo yote kwa urahisi moja kwa moja kwenye simu yako au Settlo POS
Tumie Settlo kufanya biashara yako iwe smart zaidi!
Tupigie kwa namba 0759 229 777
Biashara yako ya Restaurant au Bar haitakiwi kuwa ngumu hivyo!
Kwa kutumia Settlo, unakuwa na full control — kutoka kwa oda za wateja hadi kwenye malipo na ripoti zako.
✅ Orders zinaingia moja kwa moja
✅ Hakuna kuandika kwa karatasi
✅ Mauzo na matumizi unaona papo hapo
✅ Unajua kilichoingia na kilichotoka bila stress
✅ QR Code Menu kwaajili la wateja wako
Settlo – Rahisisha biashara yako kila siku.
Tupigie sasa uanze kuendesha Restaurant au Bar yako kisasa
0759 229 777
Heri ya Siku ya Saba Saba! 🇹🇿
Tukiadhimisha mchango wa biashara kwa maendeleo ya taifa, Settlo inajivunia kuwa mdau wa kuinua wafanyabiashara kidijitali.
Tujenge uchumi wa kisasa kwa kutumia teknolojia!
Simamia biashara yako ya pharmacy kisasa zaidi na
Pata taarifa haraka pindi dawa zinapokaribia kuisha au ku-expire.
Usiruhusu stock kuisha bila kujua - Settlo inakutumia Low Stock Alerts dawa zinapopungua.
Pia unapata ripoti kamili ya mauzo, faida, na matumizi kwa urahisi.
Jaribu Settlo leo — biashara yako inastahili teknolojia bora!
Wasiliana nasi kwa namba 0759 229 777
Unauza bila kujua gharama halisi? Unaweza kuwa unapoteza faida kila siku bila kujua! 😩
✅ Tumia Settlo POS kujua bei sahihi na kuuza kwa faida. 👉 Swipe ujifunze zaidi!
Muda ni pesa – Okoa vyote viwili na SETTLO!
Acha kupoteza muda na risiti zilizopotea.
Hesabu mauzo kwa haraka, endesha biashara yako kwa akili.
Tumia SETTLO POS sasa – rahisi, salama na ya kisasa.
Tupigie sasa: 0759 229 777
Wengi wamekuwa wakijiuliza... Je, Settlo ni kwa ajili ya nani?
Jibu ni rahisi: Ni kwa ajili ya WEWE unayetaka biashara yako ikue kwa haraka, kwa ufanisi, na kwa usalama!
Tucheki sasa kupitia 0759 229 777 .
Biashara yako inahitaji mfumo mmoja tu — Settlo.
Hakuna kuhangaika tena na vidaftari.
Fuatilia mauzo, wateja na bidhaa zako kwenye mfumo mmoja.
Pakua Settlo leo na iimarishe biashara yako kwa urahisi na uhakika.
#SettloApp#BiasharaBora#DigitalPayments#SMETanzania#fanyabiasharasmart
Biashara yako, mfumo mmoja tu!
Kwa kutumia Settlo, simamia na kukuza biashara yako mahali popote bila kutumia nguvu.
KiDIGITALI ZAIDIi — Chagua Settlo leo!
Tupigie sasa kwa namba 0759229777.
Mfumo wa Settlo umetengenezwa kwa ajili ya watumiaji wa aina zote — hata wale wasio na uzoefu wa teknolojia. Ni rahisi kujifunza na rahisi kutumia.
Anza kutumia Settlo katika biashara yako leo!
Wasiliana nasi sasa kwa namba: 0759 229 777
Asante kwa kutumia Settlo.Kipindi hiki cha Pasaka furahia punguzo la asilimia 30 kwenye malipo ya mwezi na asilimia 5 kwenye malipo ya vifaa, tumia neno PSK30 upate punguzo.Wasiliana nasi: 0759229777.Heri ya Pasaka!
Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Settlo ni kwa ajili ya biashara yoyote. , kuanzia kioski hadi supermarket!
Rahisisha uendeshaji wa biashara yako , fatilia mauzo, na endesha biashara kwa ufanisi. na Settlo Daftari la kidijitali
tupigie leo kwa namba 0759 229 777
#settloaccademy#settlodaftarilakidigitali
Jiunge sasa na maelfu ya wafanyabiashara wanaoendesha biashara zao kwa kutumia Settlo!
Hili ndilo DAFTARI LA KIDIJITALI unalohitaji:
•Rekodi mauzo yako kwa urahisi
•Rekodi matumizi ya kila siku
•Pata taarifa ya faida na hasara
•Ripoti za siku, wiki na mwezi
Kuwa mjanja—tumia Settlo!
#settlodaftarilakidijitali
Wasiliana nasi sasa: 0759 228 777
Settlo imenirahisishia sana kukuza biashara yangu, na kwa vijana wangu hata kama sipo nafuatilia kila kitu kama kawaida.
Tupigie sasa kwa namba 0759 229 777