VODACOM DIGITAL ACCELERATOR ni jitihada yetu kusaidia wajasiriamali wa teknologia kukua. Tulipokea maombi 500 kujiunga. Leo tunafuraha kubwa kuanza jitihada hii na kampuni 15 zilizochaguliwa, kuhakikisha zinakua na kufanikiwa. Kwa taarifa zaidi;
vodacomaccelerator.co.tz/staβ¦