Unataka kufanya biashara ya nyumba za makazi? Magomeni, Manzese, Mabibo, Tandale, Kigogo, Mwananyamala na Kino bado ina nyumba za chini ya 50M. Ukivunja na kutoa kitu fresh una uhakika wa kula kodi ndefu kuliko aliyejenga kwenye kiwanja cha 100M Goba.