Joined July 2022
5,235 Photos and videos
Pinned Tweet
Fundi anarudi kwenye UWAKILI, nakumbuka kesi ya yule kijana alosemaga JPM ni mpumbavu, LISSU akajitolea kumtetea kijana mahakamani, LISSU akawaambia mteja wangu hakumaanisha JPM ni JOHN POMBE MAGUFULI, kijana alimanisha JPM ni JUMA PUMBA MAHARAGE, kesi ikaisha 😂 He is back ✊
101
221
2,768
92,899
Mgumba kapata Mimba
15
Sekenke One 🌻 retweeted
In case hujawai kuona airport ya Aviator ndo hii sasa
All this favorate ..I enjoy low cutsss so much
21
6
54
5,354
Sekenke One 🌻 retweeted
Nani anamiliki hichi chombo cha habari humu?😂
Huyu jamaa Tapeli sanaa🤣🤣🙌🏽🔥 Alitaka kutuaminisha Wema hazai🤣 au alikua anamwagia nje mwenetu🤣🙌🏽
24
25
69
6,552
Sekenke One 🌻 retweeted
Kwenye maisha hakikisha unakutana na watu sahihi TU, tobo lako always lipo kwa mtu. Kuna watu unapaswa kukutana nao kwenye maisha ili kufungua njia yako ya kimaisha.!!
34
35
190
15,948
Sekenke One 🌻 retweeted
Hakunaga ajari mbaya kama ya Boda Boda kwa Boda Boda.😁
16
15
215
12,238
Sekenke One 🌻 retweeted
Hivi hawa wanawake wanao kaaga uchi kwenye uwanja, huwa wanalipwa kabisa au nikujitolea tu?
52
33
193
21,512
Sekenke One 🌻 retweeted
Huyu alipoteleaga wapi...??
27
30
259
10,510
Sekenke One 🌻 retweeted
Nani yupo tegeta tuzinese! 😎
15
20
64
1,791
Sekenke One 🌻 retweeted
Tujipost kidogo , black n white thread 🤗
46
27
91
6,477
Sekenke One 🌻 retweeted
Jamaa ni mchezaji mzuri ila anamakosa mengi sana yakujirudia rudia.
21
17
123
3,359
Sekenke One 🌻 retweeted
Nimerudi na kukuta Sina blue tick na ujerumani wanaongoza 6 duuh Na arsenal kumbe alichukua EPL nyie watu mna siri sana
1
2
7
100
Sekenke One 🌻 retweeted
Unaenda maeneo upate utelezi
Team R9 niko kisutu leo, msogee tuzinese
1
1
2
103
Sekenke One 🌻 retweeted
Who?😂😂💔
20
15
67
2,979
Sekenke One 🌻 retweeted
Huyo mtoto Ana mama yake aminini nawapanga Hilo Zee halina Uwezo wa kuzaa katu😂😂
7
8
34
1,640
Sekenke One 🌻 retweeted
😅
Bwana Twalibu alioa mapema sana arranged Marriage, akapata na mtoto mmoja akiwa na Uraia wa nchi moja, Bwana Twalibu akaachana na mke wake, akapata Uraia Pacha yaani Dual Citizenship, kwenye Passport na Permit jina likasoma Anko T. Watu kama hawa wapo wengi sana sehemu zenye Foreigners wengi, Vijana wanaitwa Baba ila gafla wanabadilisha Uraia wanakuwa Dual citizenship 😢 😭
1
2
61
Sekenke One 🌻 retweeted
Uko wapi tuzinese aisee.?
Ukitaka kujua Overrated Clown wa mda wote, nenda kaangalie Fainali ya Kombe la Dunia Marudio 2002 dhidi ya German, R9 alifunga goli mbili na kombe Brazil wabeba, ila kaangalie alichokuwa anakicheza mana shabiki zake wanadai mpira ni zaidi ya Magoli, we kaangalie bila kusikiliza wachambuzi, Tumia akili yako na macho yako afu uje na Majibu, R9 na Mbappe nani bora, Nasubiri majibu yenu hapa. Au kaangalie mechi zote alizokuwa na jezi ya Real Madrid, ni mechi chache sana amefanya Maajabu mashabiki zake wanajifichaga nyuma ya majeruhi utafikiri majeruhi aliumwa peke yake Duniani. If Overrated was a person then that person is Ronaldo De Lima 😄 🤣, Eden Hazard angecheza kile kizazi angeitwa Mungu wa mpira.
2
1
2
474
Sekenke One 🌻 retweeted
Rt
Habari za asubuhi ? Naomba Mniungishe ndugu zangu, niungisheni leo nipate kula😐🔥 🏆Nauza Simu, Full Box na used from Dubai ni original na zinakuja na warranty. 🏆Nauza Cover, Protector, Earphones, Earpods , PS , Tablet & iPads. 🏆Nafanya replacements za Vioo & Battery. 📍Nipo Mwanza Mjini 🚚Huduma ya Delivery ipo. 📞Nicheki DM 📞Nicheki 255747151944
1
9
13
239
Sekenke One 🌻 retweeted
Habari za asubuhi ? Naomba Mniungishe ndugu zangu, niungisheni leo nipate kula😐🔥 🏆Nauza Simu, Full Box na used from Dubai ni original na zinakuja na warranty. 🏆Nauza Cover, Protector, Earphones, Earpods , PS , Tablet & iPads. 🏆Nafanya replacements za Vioo & Battery. 📍Nipo Mwanza Mjini 🚚Huduma ya Delivery ipo. 📞Nicheki DM 📞Nicheki 255747151944
17
62
73
3,159
Sekenke One 🌻 retweeted
Ukitaka kula kuku Mwanza uwe na 30k Tofauti na hapo utakula kakuku. Tukianza kuuza kuku sitaki hasira humu 😀 Nafuga mwenyewe
25
32
306
16,369
Sekenke One 🌻 retweeted
Kanisani kikuku cha nini????
Happy Sunday ❤️☺️
16
5
26
2,525