Joined July 2021
7,489 Photos and videos
Pinned Tweet
Zile beki za South African kuanzia Mbokazi, Okon na sibisi hazina utulivu kama wa Rushine De Reuck.
57
47
685
41,202
MJUKUU (Fan) retweeted
Daah😀😀😀hii ni AI
Kiukweli Jana Brazil wametuangusha, matumaini ni kwa Ureno. Cr7 na vijana wake 🙌🙌
14
7
128
5,259
MJUKUU (Fan) retweeted
Tujipost kidogo , black n white thread 🤗
30
17
47
1,585
MJUKUU (Fan) retweeted
Jana Paqueta alitaka kujaribu 😃😃
Aina ya Magoli ambayo natarajia kushudia kwenye michuano ya Kombe la Dunia, inayotarajiwa kuanza Leo 🔥🔥 Wewe unatarajia kushudia aina hipi ya Magoli 👇👇
1
9
14
402
MJUKUU (Fan) retweeted
Kipi kilikufanya Ujenge utaratibu wa kupima na kutumia Condom kwenye Sex? Mimi kuna siku niliona wagonjwa wa AIDS wanavyoteseka wakielekea Kufa..toka ile siku nikasema walah sili kavu na siamini Mtu.
2
4
9
454
MJUKUU (Fan) retweeted
Mwanamke Akitaka Muachane Anakuomba Tu Laki Mbili Kwisha habari Yako 😂
3
4
9
86
MJUKUU (Fan) retweeted
Daah!! Rushine De Reuck. 😭 Cc. @SportsarenatzTz 🎥
4
4
9
244
Imekuajee kwanii.??😂😂😂
8
3
21
352
MJUKUU (Fan) retweeted
Hii Morocco ina watu sana imagine El Mourabet ametokea bench.🙌
10
10
294
5,701
MJUKUU (Fan) retweeted
⏳:HT Kipindi cha kwanza kimemalizika uwanja wa KMC Complex 🏟️ kwa sare ya bao 1️⃣ kwa 1️⃣ 🦁 SIMBA SC 1️⃣-1️⃣ PAMBA JIJI 🟢 Ellie Mpanzu ⚽ Mathew Momanyi⚽
1
4
140
MJUKUU (Fan) retweeted
Rate Raphinha's performance from 1 to 10' against Morocco 🇲🇦 🙌
12
2
58
2,496
MJUKUU (Fan) retweeted
80k sio
17
3
38
5,948
MJUKUU (Fan) retweeted
Ukitaka kula kuku Mwanza uwe na 30k Tofauti na hapo utakula kakuku. Tukianza kuuza kuku sitaki hasira humu 😀 Nafuga mwenyewe
13
16
134
4,829
MJUKUU (Fan) retweeted
🚨🏟️ 𝗗𝗜𝗗 𝗬𝗢𝗨 𝗞𝗡𝗢𝗪: Netherlands vs Japan will take place at the INCREDIBLE AT&T Stadium! • The stadium can hold 80,000 seats with an expandable capacity of up to 100,00 fans, making it the largest roofed (!) stadium in the world. • It cost $1.3 billion to build and features one of the largest video screens ever installed in a sports venue.
127
43
363
10,314
MJUKUU (Fan) retweeted
Kijana aliyezaliwa kwenye Kambi ya wakimbizi Kigoma, Tanzania. Akapata nafasi ya kwenda Australia akiwa Mtoto. Kipaji kikamfikisha club ya Watford ya Uingereza. Nestory Irankunda amekuwa mchezaji mdogo zaidi kuifungia goli Australia kwenye World Cup na amekuwa Man of the Match.
6
27
590
9,290
MJUKUU (Fan) retweeted
Hii Siku Najua Twiter Patachangamka Mno Kuzidi Leo😁😁🙌🙌 Hii Inaitwa Kula Nyama Nyamaza Mwana Ukome😁
4
10
22
276
Mhh hawa Pamba jiji wametumwa?!
1
2
6
59
MJUKUU (Fan) retweeted
Hamjui tu navowamaindi wewe @heis_tenhag @CFCSam_X na wenzako woteeeee mnaoisema Liverpool 😂😂😂😂😂😂yani naumia kinoma kuna siku ntawa unfollow
6
5
17
1,459
MJUKUU (Fan) retweeted
Happy Sunday ❤️☺️
15
12
51
4,126
MJUKUU (Fan) retweeted
Umri huo bado mnalilia maudhui nyie Masisiyemu? Maudhui yakiibiwa si kitu kimependwa kwani shida ipo Wapi?
5
6
17
519
Saidia kukuza ubora wa filamu malawi.
WANAUME ACHENI HIZI TABIA MARA MOJA😡‼️⚠️🚮 Nilikutana na huyu baba ni mtu mzima nadhan kwenye 40 posta kwenye ofisi moja ivi, tukabadilishana no za sm na kuanza kuwasiliana, akawa amenitongoza nikamkubalia, aka suggest tuonane nikaomba iwe open space kwanza, nika suggest na hotel twende dinner, tumeenda jana hotel moja maarufu, alinifata home, ametaka kunikis nikakwepa, tumefika pale parking akataka nikiss tena nikamwambia its too early, tukaingia akanishika mkono nilikuwa naona aibu ni mtu mzima sana, saa ngap asizungushe mkono kiunoni nikamtoa nikaona kanuna, basi tumeagiza msosi tumekula akaingia washroom hakurud kaniachia bill 158k nampigia hii bill nitalipaje? Akasema ni mapema pia mimi kula pesa yake? Nilikuwa na ki akiba nikalipia but nimeumia sana Nadhan wanaume wafundishwe namna ya kuwa real gentlemen, kumfanyia mtoto wa kike kitendo kama kile ni utoto na ushamba
8