Oh Msigwa kuhamia ccm kajimaliza kisiasa, nonsense kabisa!
Yaani siasa nchi hii lazima ufanyie Chadema , wewe ambaye hujaisha kisiasa unafanya nini! Kisiasa ukoje!
Oh vijana msitoke chadema mna future nzuri, uongo tu. hao wanaowambia mnafuture wao wenyewe hawana future!