ZIRO KOTEKOTE!
Huu ni Unafuu uliopitiliza, Ni rasmi sasa wateja wa Azampesa wanaweza kufanya miamala BURE kwa Azampesa.
Miamala inayofanywa BURE ni pamoja na:
Kutuma pesa Azampesa - Azampesa
Kutuma pesa Azampesa kwenda mitandao mingine
Kununua LUKU/TUKUZA
Kufanya malipo ya serikali
Kulipia Bili (Vingamuzi vyote)
Kukata Tiketi
Kufurahia huduma hii jisajili sasa na Azampesa kupitia Azampesa App.
azampesa.sng.link/Cnr10/7ndd…#azampesa#jisajilisasa#zirokotekote#usikubalikupigwa
Huku unaokoa na kuokota 💰
Akiba yako inaweza kukuletea zawadi! 🎁
Weka kwenye Story Instagram na Facebook ujumbe unaoonesha kiasi ulichookoa wiki iliyopita.
Watu 10 wa kwanza kushiriki watapata zawadi kutoka AzamPesa.
Usisahau:
kuweka hashtag ya #OkoaNaAzamPesa kisha tag akaunit ya @AzamPesa
Tutumie DM namba yako ya AzamPesa
Kila malipo unayofanya kwa AzamPesa yanamaanisha risiti moja pungufu, safari moja pungufu, na mchango mkubwa zaidi katika kulinda mazingira yetu.
Lipa kidijitali. Okoa muda. Linda mazingira.
#Azampesa
POST TUTAG, USHINDE!
Ujumbe wa kupostiwa ni ule uliopokea unaoonesha kiasi ulichookoa kwa mwezi uliopita.
Watu 10 wa mwanzo kushare ujumbe huu kwenye kurasa zao za Instagram watashinda zawadi zitakazotumwa moja kwa moja kwenye AzamPesa zao.
Baada ya kupost:
• Tag @AzamPesa
• Tumia hashtag #OkoaNaAzamPesa
• Kisha tuma DM ukiweka namba yako ya AzamPesa
#posttutagAzamPesa#okoanaAzamPesa#azampesa
Kutoka Dawati la ukweli na uwazi kwenye idara ya kufanya miamala bila MAKATO. Ushahidi wa ndugu yetu huu hapa!
Weka ushahidi wako hapa tuone uliokoa shingapi mwezi jana 🙌
#jiokoenaazampesa
Heri ya Siku ya Wafanyakazi!
Kila hatua unayopiga, kila juhudi unazoweka — ndizo zinajenga kesho bora.
AzamPesa tupo nawe kuhakikisha Urahisi na unafuu kila unapofanya miamala.
#Tunathamini jasho lako!
#azampesa