Mdau

Joined June 2022
15 Photos and videos
Mimi ningekuwa wew mingeitafuta hyo mama hata sahzi alooh siwezi kubali kushindwa😂😂😂
Sikulamba mzee. Sisahau mpaka leo. Na vidusco nilikua navyo. Kumbe ile mama kuna masta wa benki kuu pale alikua analamba.
1
1
103
We mzee😂😂😂 sasa ulete msimbonyuma na risiti ifikapo saa mbili
1
1
87
Huyu mzee atakuwa generation gani?😂😂
1
7
Hii superstar bei gan??
Unakaa mkoani unadhani hatukutumii viatu? Tumeship Moshi, Mbeya, Kigoma, Tanga. Mwanza, Dodoma, Arusha Wateja wamerudi mara nne nne. Trust me Bro
21
KIJANA WA 2000’s retweeted
Men can stay up till 2 a.m., wake up at 6, be in debt, broke, alone, and still have faith that one day, everything will work out.
7
38
76
803
Hivi kaka huwezi anzisha rollover hapa hata ya odd 2 au sio rollover ukatoa hata odds tatu kila siku kusaidia vijana wavivu kuchambua kama @derc2323
FOR THE LOVE, FOR THE STREETS.🫡 Sportbet🇹🇿: 5TMDLP -Odds 80💰 (The most trusted code) Extra ticket: 5SEGE7 -Odds 100🔥 (Collaboration) Edited from X punters; 5YDFBC -Odds 360🔥
2
1
11
1,500
Naomba unieleweshe what’s wrong with that e-mail na mimi nijifunze kitu
Email ni Gmail 😅😅
1
34
Hii debate ilinikosa ila ninamengi ya kusema😂😂😂 Inabidi uwe huna hyo access ya 600K per month alafu tuzungumze 100K na unaingiza 600K per month as start n Anasa ya wazi🙌
Tuivunje 600k (kwa kijana aliyetoka chuo) Kodi - 100k Maji - 10k Umeme 15k Chakula - 150k Usafiri - 60k Internet/airtime - 20k Dharula - 50k Msaada kwa familia - 50k Michango ya kijamii - 30k Sadaka - 40k Total 525,000/= Kuna vitu neglected hapo. How 600k ni nyiiingi???
1
35
KIJANA WA 2000’s retweeted
Aondoke kwenye Social Media kipindi cha kujitafuta, hapana faida yoyote sana sana patamletea Sonona tu. Atumie muda huo kujifunza high income skill anayoona inamfaa, atajishukuru sana baadae, mi nimelewa lakini sio lazima asome maujinga yangu.
Una ujumbe gani wa kumwambia Kijana mwenzako ambao unaweza kumjenga?
4
6
20
1,016
We mzee @Kil0voltI hebu nipe msaada wa details za hii gari “Subaru G4” mbona cc zake n chache kama 1500 alafu hapa mjini sio nyingi?? Nipe detail kama gen z nnaye taka kuelewa magari
1
1
76
Kipind hicho pesa iliweza kuku-control… I guess siku hz wew ndo unai-control.
Replying to @LifeofSteph_1
Hela ya boom ni hela ya shetani, sikuwahi kumaliza nayo week 3... Ila kuna watu nilisikia wamejenga kwao. Hongera saaaana kwao aiseee.
1
1
71
Millennial kwenye ushauri wa busara….
Wala sio kuchanganyikiwa, appreciate that and don't take it for granted. Mkaribishe, make her feel safe around you halafu mzawadie anachotaka, na unyamaze baada ya hapo, usije online ku-tweet😁
1
24
Napenda hela mpya 😏
44
Baada ya mahesabu ya leo kuniambia kwamba itanichukua mwaka mzima kupata 3.6M endapo nita save 300K per month. Basi 5M ni pesa nyingi sana wakuu😂😂😂😂
May 14
Million Tano ni hela Ndogo sana , halafu pia ni Hela nyingi sana.
1
1
4
63
Kuna mwanangu huwa anasema huu ndo umri wa kutake risk mana kuna gap la kufanya recovery…. Ila ukifika 30 kwisha habari yetu
Hii age ya 22 to 29 kama huna support ya mzazi unaeza kuwa chizi walai😂
2
1
2
101
KIJANA WA 2000’s retweeted
Dua yetu ni ile ile Mungu Aendelee Kutuepusha na Wanawake Wasiosema kama Wameolewa.
18
50
139
1,954
KIJANA WA 2000’s retweeted
Hiyo shikamoo ni uhuni wa mwarabu tu. Aliwarubuni wazee wetu. Maana yake - niko chini ya miguu yako. Mimi hua siihusudu saaaana. Bora hata nikwambie au uniambie habari yako...
1
1
1
37
Hili jamaa art yake ya uandishi na kupangilia mambo n superb 🙌🙌🙌. Nje ya uandishi hata kwenye kuongea enzi za unitalent always huongea fact🔥🔥🔥🔥
I BEG TO DIFFER! CHID BEENZ was big! Hao waimbaji walikuwa hawatusui bila verse zake, he was earning handsomely, he has 2 of the biggest rap songs of all time (“Ngoma Itambae”, “Mashallah”). Kumbuka we had bangers like “Nini Mnataka Mazee”, “Kazeze”, “Ngangari”, “Kula Kona”, etc ila hazija stand “test of time” kama nyimbo za Rashid. Pia ali rattle the whole East African scene, with huge fanbase in UG & KE. He was big enough kuweza kupata a weekly TV Show (kitu ambacho only Lady Jaydee was able to accomplish). He was the Closer of all the shows (When others were in Fiesta Tour Buses, yeye alikuwa na 4-5 private car convoy akiwafuta nyuma). He was bagging all the baddies (ningekutajia ubaki mdomo wazi but real Gs move in silence like Lasagna 😎). The inflated ego that you see, is justified due to the levels he attained during his Prime!! He is definitely Top 5 as far as artists with highest peak (although it didn’t last that long); Similar to 50 Cent!! ON THE OTHER HAND, Don’t play with MR NICE!! That effer was BIG BIG!! In the pre-social media era, he was able to accomplish things ambazo hata hawa digital era stars like Diamond & the likes hawajaweza kuattain. Don’t get me wrong, Diamond is huge too (arguably Top 2) but Mr Nice is something else. And kina Mondi should be thankful for Social Media maana some of their perceived dominace is really the “After Effect” of the actual blast. Best Analogy ya hao wawili being case ya Michael Jackson. Unasikia Drake sasa hivi anavunja rekodi za MJ za hits sijui, na streams But hits zina levels, na pia kuna tofauti kati ya kuuza 50 million physical albums in pre-internet era Vs kupata 50 billion streams in digital era. So kabla ya ku-dismiss completely ukubwa wa mmoja, angalia issue relatively kwa ku-consider era, na pia accolades, impact, reach, peak & fame during prime.
31
Walikua wakiwa na baiskeli wakifika pale wanajifanya mnyororo umefyatuka au umekatika 😂😂😂
Wakijua kama mlikuwa mkivizia demu hatoki kwao mnaanza kurusha mawe batini mmeisha. 😂😂😂
1
1
30
Na bado chumbani walikuwa wanabandika magazeti kibao ya mwanasport😂😂😂
Millenials ilikua wakipanga chumba kimoja wanaweka pazia katikati ili kitoke chumba na sebule. Sijui akili za wapi hizi
1
59