Katika Sheria za dini ya Kiislam hairusiwi kuwaoa dada wawili pamoja. Kisheria si ruksa.
Nenda katika surat Nnisai kaipitie utaona UHARAMU huo.
Lakini,utaruhusiwa kumuoa dada ya mkeo au ndogo ake endapo mkeo atafariki na ukapendezwa na familia yao au kwa maslahi ya watoto walioachwa na mkeo. Maana kama utamuoa atawapenda wale watoto tofauti na kuleta mke mwingine kuja kuwalea.
Ombi la mkeo ni kinyume na Sheria maana Mtume(s.a.w) anasema "Amelaaniwa mwanaume anayechanganya maji ya uzazi kwa ndugu wawili". Hapo inamaana hakuna ruhusa ya kuwaoa kwa wakati mmoja,lakini Qur'an imebainisha wazi kuwa ni haramu kuwaoa dada wawili pamoja.Labda kama ulimwacha kisheria au amefariki hapo inaruhusiwa kumuoa dada yake.
USHAURI
Kama mazingira ya huyo dada yake hayapo vizuri na wewe umejaaliwa wasaa wa rizki na pakulala,basi unaweza kumlea tu Hadi atakapopata wa kumuoa tena.Hilo kuliifanya ni swadaqa kwako na Allah atakulipa. Lkn usije shawishika ukazini naye,hapo utajichumia madhambi makubwa
4 Days Left!
Only 4 days remain to apply for the PEPFAR HIV Best Practices Awards. Showcase your innovative work in HIV prevention. Apply today!
forms.gle/Kp5jj2DWbHjmyREB7#THS2024#PEPFARAwards
Miongoni mwa huduma ambazo watumiaji wake wote wa nchi hii tunakubaliana kuwa imewashinda waendeshaji ni kwenye umeme. Lakini waendeshaji wenyewe kamwe hawawezi kukubali kuwa huo ndio ukweli wala.Angalau turudie rudie kuwaambia kuwa hawawezi,pengine itatusaidia siku moja.
Shakira deduced Piqué was cheating on her after she returned from traveling to find that her strawberry jam was eaten.
Piqué has never eaten jam in his life.
"Mikakati yote haiwezekani bila kuishirikisha jamii lazima tushirikiane na wadau wote kuhakikisha mpango mkakati wa kutokomeza ukatili unatekelezwa kwa vitendo Nchini." Amoni Mpanju - Naibu Katibu Mkuu @maendeleoyajami.
@WiLDAFTz#PingaUkatiliOkoaMaisha#16DaysOfActivism