Data Privacy Officer (DPO) | Passionate about digital transformation, innovation, and creating impactful projects | 44 20 8638 6823 | hq@inhb.co.uk |London ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง

Joined September 2013
Photos and videos
Pinned Tweet
Finally I realised, I'm Not a permanent Person In Anyone's Chapter, But I can Assure To Be A Best Temporary Person You Ever Meet.
8
17
1,721

1
2
95
BlessingChess retweeted
Cc @IntlCrimCourt This goon Clemence Mwandambo is a man who got fame for appearing to back peaceful protests in October 2025 and later the family claimed he was abducted. Since his release, he has changed and now is openly threatening with gun and violence peaceful protestors on 7/7 He is now a proxy of Abdul Ameir - and they are planning a new massacre! Kindly note and keep him on record for further action during the trial! Cc @SenateForeign @SFRCdems @US_SrAdvisorAF @StateDRL @UN_HRC @WorldBankAfrica @IMFAfrica Kama ni upumbavu basi ni hii! Mwandambo ameji-incriminate na atakuja kuwa shahidi au mshtakiwa! Asifikiri ni sifa kutisha watu na bastola ya Abduli?! Tunajua ametumwa na Abduli kuleta gumzo - he is just pathetic! Kesho yakimpata asilalamike eti alilazimishwa - kajitakia mwenyewe Acheni vitisho ๐Ÿšฎ mnatia watu hasira - mnafikiri ninyi mtaishi milele! Tusiogope wapendwa! Tumeshashinda hawa wamepagawa #TutaelewanaTu #SamiaMustGo
114
146
655
95,813
BlessingChess retweeted
Florah Lemi, Mkazi wa Iramba Mkoani Singida, leo Jumamosi Juni 13, 2026 akiambatana na Kaka yake, wamemueleza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa waliandaa Mbuzi kama zawadi kwaajili yake ila kwa bahati mbaya mbuzi huyo ameibiwa wakati Waziri Mkuu akiendelea na mkutano wake wa hadhara Mkoani humo. Katika maelezo yake, Waziri Mkuu Mwigulu amemuagiza Diwani wa Kata hiyo kuhakikisha mbuzi huyo anatafutwa na anapatikana.
12
8
72
9,173
BlessingChess retweeted
Isack Mwigulu Nchemba ambaye ni mtoto wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba kwa niaba ya familia yao amewashukuru wananchi wa Jimbo la Iramba mkoani Singida kwa kumchagua baba yake kuwa mbunge wa jimbo hilo. Akizungumza mbele ya wananchi hao leo Juni 13, 2026 Isaac alimshukuru pia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kumteua baba yake kuwa Waziri Mkuu. "Kwa niaba ya familia tunamshukuru Mheshimiwa Rais amemteua Baba sasa hivi anawatumiki. Kwani hamjafurahi?"
29
12
115
28,574
BlessingChess retweeted
Mazishi ya aliyekuwa kiongozi mkuu wa Iran, Ali Ayatollah Khamenei yanatarajiwa kuanza Julai 4 hadi 9, 2026 ambapo atazikwa Kaskazini Mashariki mwa mji wa Mashhad. Khamenei aliuawa katika shambulio lililotekelezwa na Israel na Marekani mwezi Februari, mwaka huu.
8
9
213
14,352
BlessingChess retweeted
The award for the most stylish World Cup arrival goes to DR Congo ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ
423
3,498
16,591
780,101
BlessingChess retweeted
#HABARI Watu zaidi ya 5,000 raia wa Malawi wanaoishi katika mji wa Durban nchini Afrika Kusini wanatarajiwa kurejeshwa nyumbani baada ya kuomba msaada huo kufuatia kuongezeka kwa hofu ya usalama wao. Ombi hilo limekuja baada ya baadhi yao kudai kushambuliwa na kunyanyaswa katika maeneo wanayoishi na kufanya kazi, hali iliyowalazimu kutafuta njia ya kurudi Malawi. Mamlaka za Malawi kwa kushirikiana na wadau mbalimbali zimeanza mipango ya kuratibu safari za kurejesha wananchi hao kwa awamu ili kuhakikisha wanarejea salama nchini mwao. Hatua hiyo inaangazia changamoto zinazoendelea kuwakumba baadhi ya wahamiaji wa kigeni nchini Afrika Kusini, ambako mara kwa mara kumeshuhudiwa matukio ya chuki dhidi ya wageni yanayosababisha hofu na taharuki katika jamii za wahamiaji. Wengi wa Wamalawi hao walikuwa wamehamia Durban kutafuta ajira na fursa za maisha, lakini mazingira ya sasa yamewafanya kuona kurejea nyumbani kuwa chaguo salama zaidi. Serikali ya Malawi imeeleza kuwa itaendelea kufuatilia hali ya raia wake waliobaki Afrika Kusini huku ikihakikisha wanaorejeshwa wanapata msaada unaohitajika baada ya kuwasili nchini. #EastAfricaRadio
4
23
877
BlessingChess retweeted
BREAKING NEWS:Police Throw Teargas at school kids in a bus ,while they were traveling from a music contest. POLISI NI ADUI SIKU ZOTE.
43
390
719
16,264
BlessingChess retweeted
Dada wa taifa (Mange Kimambi) kasema jamaa kafunga goli la mkono (IVF)
1
1
1,920
BlessingChess retweeted
Using media influencers to propagate stupid things
1
1
1,629
BlessingChess retweeted
Jamani ..
2
2
39
3,794
๐Ÿ‘‰ Siasa mara nyingi ni mchezo wa fikra (mind game), ambapo si kila kauli hutolewa kwa lengo la kueleza ukweli pekee, bali wakati mwingine hutolewa ili kuvuta usikivu wa umma. Kauli zenye utata au msimamo mkali zinaweza kufanya mjadala uhamie kwa mzungumzaji na kumfanya aonekane zaidi kwenye macho ya watu. ๐Ÿ‘‰ Katika mazingira ya kisiasa, negativity au ukosoaji mkali mara nyingi hutumika kama mbinu ya kupata attention kwa sababu huamsha hisia za watu kwa haraka. Kadiri kauli inavyozua mjadala, ndivyo inavyoongeza nafasi ya kuzungumziwa kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii. ๐Ÿ‘‰attention siyo mafanikio yenyewe. Wanasiasa wenye uwezo mkubwa hutumia attention hiyo kuingiza ajenda zao, kushawishi fikra za wananchi na kujenga ushawishi wa muda mrefu. Ndiyo maana katika siasa, anayesimamia mjadala mara nyingi huwa amepata hatua ya kwanza ya ushindi wa kisiasa, ๐Ÿ‘‰ukiwa nje ya mfumo wa madaraka au huna cheo, mara nyingi sauti kali za ukosoaji ndizo zinazokuvutia umakini wa umma. Katika mazingira hayo, negativity inaweza kutumika kama silaha ya kujijengea jina na kuonekana zaidi kisiasa. ๐Ÿ‘‰ Kadiri kauli zinavyokuwa na utata au ukosoaji mkali, ndivyo zinavyoweza kusambaa kwa haraka na kumfanya mzungumzaji kuwa sehemu ya mjadala mkubwa. Hali hiyo huwapa baadhi ya watu fursa ya kujenga ushawishi na kuonekana kama mbadala wa waliopo madarakani. ๐Ÿ‘‰ Ndiyo maana katika mchezo wa siasa, baadhi ya wanasiasa huanza kwa kukosoa kwa nguvu ili kuvuta macho ya wananchi, kisha hutumia umaarufu huo kujijenga kisiasa na kutafuta nafasi au cheo ndani ya mfumo wa uongoziโœ๏ธ
6
17
44
4,152
BlessingChess retweeted
WATU WANAPAMBANIA MASILAHI YAO, WAKIONA JAMAA YUPO MADARAKANI USIKUTE SOMETIMES HATAKI OR UNCONSCIOUS HAJUI ATA ANAFANYA NINI, ILA NDO IVYO WAHUNI, HAWACHEKI NA KIMA,WANAKULA TUUUUUUH.

7
24
2,969
BlessingChess retweeted
๐ŸŽฅ๐๐€๐€๐ƒ๐‡๐ˆ ๐˜๐€ ๐–๐€๐“๐€๐๐™๐€๐๐ˆ๐€ ๐–๐€๐‹๐ˆ๐Ž ๐๐‰๐„ ๐๐€ ๐–๐€๐‹๐ˆ๐Ž๐Š๐€๐๐€ ๐”๐‘๐€๐ˆ๐€ ๐–๐€ ๐๐‚๐‡๐ˆ ๐˜๐„๐“๐” ๐–๐€๐๐€๐‚๐‡๐Ž๐‚๐‡๐„๐€ ๐•๐”๐‘๐”๐†๐” ๐ˆ๐‹๐ˆ ๐๐‚๐‡๐ˆ ๐ˆ๐’๐ˆ๐“๐€๐–๐€๐‹๐ˆ๐Š๐„: ๐Š๐ˆ๐‡๐Ž๐๐†๐Ž๐’๐ˆ Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dodoma, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Ndugu Kenani Laban Kihongosi, amesema kuwa zipo taarifa zinazodai kuwepo kwa watu wanaojaribu kuchochea migawanyiko na vurugu zinazoweza kuhatarisha amani na utulivu wa Taifa. Ndugu Kihongosi ametoa wito kwa Watanzania kuendelea kusimama imara kulinda uhuru, umoja na mshikamano wa nchi yetu, huku akisisitiza umuhimu wa kuunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuimarisha umoja wa kitaifa, amani na maendeleo ya Watanzania wote. Amesema Tanzania itaendelea kuwa imara pale wananchi watakapoweka mbele maslahi ya Taifa, kudumisha upendo na kushirikiana kujenga nchi yenye mshikamano na ustawi kwa wote. Tembelea: ccm.or.tz ______ #KaziNaUtuTunasongaMbele #CCMIpoKazini #MtumishiWaWote
63
6
30
78,301
BlessingChess retweeted
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa alipoulizwa swali kuhusu alikozipeleka gwanda za Chadema mara baada ya kujiunga na CCM, na nguo za CCM baada ya kukikacha chama hicho na kurejea tena Chadema amesema hilo ni siri ya kambi. Mchungaji Msigwa ambaye alikuwa mbunge wa Iringa Mjini kupitia Chadema kwa miaka 10 (2010-2020), alijiunga na CCM Juni 30, 2024 kabla ya kutangaza kurejea Chadema Mei 23, 2026 huku akitoa sababu kuu kwamba mauaji ya Oktoba 29, 2025 yalisukuma dhamira yake. Mwananchi lilifanya mahojiano maalumu na Msigwa Jumanne Juni 2, 2026, jijini Dar es Salaam kuhusu uamuzi wake wa kuondoka CCM alikokaa takribani miaka miwili na kurejea Chadema ambako aliwahi kuwa mbunge na mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa.
5
7
109
18,336
BlessingChess retweeted
#KURASA Mwili wa mwanafunzi wa Chuo cha St Johns University Rebeca Misungwi ambaye amefariki Dunia Juni 11, katika Hosptali ya Benjamin Mkapa Dodoma kufuatia majereha aliyoyapata Juni 6 baada ya tukio la ajali ya moto uliotokea kwenye chumba alichokua akiishi yeye na Mwanafunzi mwenzake wa chuo hicho, umeaga hapo jana Juni 12 Dodoma na kusafirishwa kuelekea Wilaya ya Magu Jijini Mwanza kwa maziko. Baadhi wa wakazi wa alipokuwa akiishi wakiwemo majirani wameeleza kwua Chanzo cha tukio la Moto huo unahusishwa na Wivu wa Mapenzi na Mwanafunzi mwingine wa chuo hicho huku ndugu wa familia wakiomba uchunguzi na hatua zichukuliwe. #EastAfricaTV
3
1
84
11,366
BlessingChess retweeted
Israel imposes travel ban on Kenya, Uganda, 3 other East African Countries, and any foreigner travelling through these countries over the Ebola Outbreak
331
830
3,540
160,942
BlessingChess retweeted
A young man was left desperate after being harassed and manhandled by police officers attached to the Kenyatta National Hospital police post.
11
69
155
10,339