My Brain

Joined November 2017
25 Photos and videos
Charles Lendey retweeted
Hongereni @ChademaTZ2 Kwakushinda dhuluma iliyokuwa mbele yenu, Zuio la kufanyakazi ya siasa ulikuwa ni uhuni kama uhuni mwingine,Haki imeshinda dhidi ya dhuluma,Umma unahitaji kuongozwa kuchukua Haki iliyocheleweshwa!
13
9
74
3,295
Charles Lendey retweeted
Suluhu is seeking Re~election next week (October 29). Her main opponents are in jail, who's she competing with?
17
991
4,466
73,433
Charles Lendey retweeted
22 Oct 2025
Makamu Mwenyekiti wa @ChademaTZ2 Taifa, @HecheJohn alivyokamatwa na jeshi la polisi nje ya viunga vya Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo Oktoba 22, 2025. Ikumbukwe leo mahakama itatoa uamuzi mdogo wa kesi inayomkabili mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu.
2
9
150
Charles Lendey retweeted
14 Oct 2025
The most useless fathers, mothers, sons and daughters 🚮
57
175
1,209
41,571
Charles Lendey retweeted
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 69 Mhe. Lissu : Ulisema kwenye ushahidi wako kwamba Tar. 09/04 ulipigiwa simu na DCP Ramadhani Ng'anzi kuwa alikuwa amekamatwa Mbinga na angesafirishwa usiku huo huo? George: Ni kweli kabisa. Mhe. Lissu : Sasa waeleze majaji kama amri ya kunikamata mimi ilitoka kwako au kwingineko? Mhe. Lissu : Ilitoka kwingineko. Mhe. Lissu : Yalitokea Dodoma kwa akina Kingai? George: Hilo sijui. Mhe. Lissu : Kwahiyo ni kweli mawasiliano yako na Kingai yalikuwa yanapitia kwa Ng'anzi? George : Mimi sijui kama ilitokea huko. Mhe. Lissu : Sasa turudi kwenye PGO. Ni kweli au si kweli askari polisi wanaatakiwa kutekeleza majukumu yao kwa kuelewa kanuni kwamba Tanzania ni nchi ya kidemokrasia inayotumia kanuni ya utawala wa sheria? George: Ni kweli kabisa. Mhe. Order 1(2)C yapo kwenye PGO hayo niliyosema yapo huko kwenye PGO? George: NI SAHIHI YAPO. Mhe. Lissu : Askari Polisi wote wanatakiwa kwa muda wote wanatakiwa kuheshimu haki za binadamu na uhuru uliowekwa na Katiba? George: Sahihi kabisa. Mhe. Lissu O.1(3) ya PGO ndio hayo yapo? George: Ni sahihi kabisa. Mhe. Lissu : Je haki ya kutoa maoni ni pamoja na mambo mnayoyasimamaia kama haki za msingi kwa binadamu? George: Ni sahihi kabisa. Mhe. Lissu : Haki mnayoitakiwa kuiheshimu muda wote ni kuhakikisha kila mtu kuishi kwa uhuru bila kosa lolote? George: Ni kweli pia. Mhe. Lissu : Haki ya kutoa mawazo yake hadharani na kujiunga na vyama vya siasa au mashirika? George: Ni sahihi kabisa. Mhe. Lissu: Haki ya kufaidi haki za msingi za binadamu kwa mujibu wa ibara ya 27? George: Ni sahihi kabisa. Mhe. Lissu : Sasa ni kweli au si kweli PGO inaposema Tz ni nchi ha kidemokrasia ya vyama vingi? George: Ni kweli kabisa. Mhe. Lissu : Sasa kama ni nchi ya mfumo wa vyama vingi ni sahihi Inategemea nini au utaratibu wa Polisi? George: Inategemea sheria. Mhe. Lissu : Ni haki kuunda Chama na kupinga serikali? George: Ni kweli kabisa. Mhe. Lissu : Ni halali kwa mtu yeyote kupinga Chama kinachotawala? George : Itategemea kitu gani kwa njia halali inaruhusiwa. Mhe. Lissu : Kuitisha mikutano ya hadhara au mikutano ya ndani si ni sahihi? George: Ni sahihi kabisa, kutaka kuwa na mkutano ni shida vitisho. Mhe. Lissu : Sasa waeleeze Majaji katika maelezo yako kuna mahali kokote ambapo ulieleza kwamba hawa watu wana haki ya kukutana na kusema mambo yao? George: Hilo sikuandika. Mhe. Lissu : Kuna mahali kokote ulisema Tundu Lissu na Chadema wana haki ya kutaka mabadiliko ya Katiba? George: Sikusema kwenye maelezo yangu Mhe. lissu : Ulisema pia kuwa Majaji ni watu wa Rais na ni Maccm kwahiyo mahakamani hakuendeki? George: Ni sahihi. Mhe. Lissu : Kwa ufahamu wako Rais ndie anateua Majaji wa Mahakama kuu? George: Ndio sahihi. Mhe. Lissu: Kwa ufahamu je majaji wa Mahakama ya Rufani? George: Anateua pia. Mhe. Lissu Jaji Mkuu Je? George: Anateua pia. Mhe. Lissu: Je ndie anateua Jaji Kiongozi? George: Ni sahihi pia. Mhe. Lissu : Anateua Wasajili wa Mahakama kuu na mahakama ya rufani? George: Ni kweli. Mhe. Lissu : Kwa ufahamu wako Rais ndie anayeteua Mwanasheria Mkuu wa Serikali? George: Ni sahihi hadi DPP anateua Rais. Mhe. Lissu : Mwanasheria Mkuu wa Serikali akiteuliwa anaakuwa Mbunge ni kweli? George: Ni kweli kabisa. Mhe. Lissu : Mbunge yeyote wa nchi hii ni lazima awe mwanachama wa Chama cha siasa? George: Ni kweli kabisa. Mhe. Lissu Sasa waeleze majaji kama unamfahamu Jaji Eliezer Feleshi Mbuki? George: Namfahamu ndio. Mhe. Lissu : Kama Eliezer Feleshi Mbuki alikuwa Mwanasheria mkuu wa serikali na Mbunge wa bunge la JMT? George: NI KWELI. Mhe. Lissu : Kwahiyo alikuwa mwanachama wa CCM? George: Hilo sina uhakika. Mhe. Lissu : Je unamfahamu Jaji Frederick Werema marehemu? George: Namfahamu. Mhe. Lissu : Na yeye alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali? George: Ndio Part 70 itaendelea kwenye post inayofuata, Naomba Repost yako kwenye tweet hii
94
630
1,470
70,957
Charles Lendey retweeted
Kaka ni kwambie kitu.............? Wale Jamaa tuliowaambia msiingie ktk uchaguzi,wakasema wanaingia Basi wakati wanajiandaa kulinda kura zao Wahuni wamepita na matako yao.
144
250
2,026
56,035
Nimefurahi kumuona SC @TunduALissu akiwa na furaha! Ushindi juu yake sio suala la kufikirika! Ni jepesi sana, hata kama wataweka "Maagizo kutoka Juu"! Wanajua kwamba Wanamuogopa! I will Join the Defence Team in few days to come!
1
9
Charles Lendey retweeted
Martin Masese alikuwa akimnadi Mbowe wakati wa uchaguzi wa chama Wala hakujificha,Baada ya uchaguzi kumalizika aliendelea na kazi ya kupambana na CCM bila kuweka kinyongo,Leo hii wamehama waliokuwa na mapenzi na mbowe yeye amebaki Amechagua uhai wa chama tumpe retweet 1000
161
1,683
5,297
109,786
Allegience to the United Republic of Tanzania!
4
Charles Lendey retweeted
Dharau zao kwa Mhe. Lissu leo mwisho Matusi yao kwa Mhe. Lissu leo mwisho Kejeli zao kwa Mhe. Lissu leo mwisho Utovu wa nidhamu kwa Viongozi na Watu wengine, Wanachama na wasio Wanachama leo mwisho. Heshima lazima ichukue mkondo wake.
240
435
3,216
68,173
Wapi Kanjanja Ntobi @Ntobi_ na kihiyo mwenzake @YerickoNyerereT ? Ile Tafrija mmeshaanza?
9
Charles Lendey retweeted
Replying to @freemanmbowetz
Cheers 🥂
9
24
649
26,264
Chief Odemba @chiefodemba salute kwako! Naangalia mdahalo na naziona Cross Examination za akili sana halafu vilaza kina Yeriko na Ntobi kazi Kupayuka tu.
8
Leo Ntobi @Ntobi_ kanyang'anywa simu au kafokewa na Maboss zake? Haonekani Kabisa humu ndani!
2
9
Naenda na Lissu @TunduALissu 2024/2029 na 2025/2030 (The 7th)#NiYeye!
7
Ombi kwa wazazi wote wenye watoto walioko shule za Sekondari na umri wao wa kupiga kura haujafika, Ongeeni na Watoto wenu. Impact ya wanachokifanya ina negative effect zaidi kwao kuliko positive side.Wawaulize majority ya vijana wenzao waliowahi kutumika,Leo wapo mtaani hopeless.
26