MTANGAZAJI WA TAIFA. Host MEDANI ZA SIASA, Udsm Alumnus, LUO ICON, CEO. CHIEF ODEMBA ENTERPRISES LTD.

Joined September 2017
824 Photos and videos
Pinned Tweet
HAPPY BIRTHDAY TO ME, 14 OCTOBER. 🙏. @chiefodemba
558
632
5,822
231,321
Edwin Odemba retweeted
Kichwa @chiefodemba 🫡🫡🫡 Proud of you Brother 👏
3
17
9,486
“Wakati Najiunga CCM nilijua ni waovu lakini sikujua kwamba ni waovu kwa kiwango kile” - MSIGWA
14
28
288
19,212
13
28
192
15,075
21
230
998
15,918
“Ndugu zangu wanachadema hakuna kosa kubwa la kimkakati kama kubadilisha Jenerali katikati ya Vita, niwaombe msibadilishe Jenerali katikati ya Vita” Hotuba ya mwisho ya Freeman Mbowe akiomba Kura kwenye Uchaguzi wa Chadema 2025.
66
63
494
30,150
Hotuba iliyompa Tundu Lissu Ushindi kwenye uchaguzi wa Chadema 2025 “NI WAKATI WA KUBADILISHA MAJENERALI”
19
212
888
15,457
12
11
112
7,890
Faris Buruhani akizoom VAR yake, kuhusu kauli yake ya “Tukiwapoteza Polisi Msiwatafute”
104
334
1,239
105,194
Kwa nini wimbo wa amani unaimbwa kwa sauti kubwa kuliko wimbo wa haki..? Na je bila haki amani itadumu …?
109
150
820
40,253
Naungana na watanzania wote wenye upendo wa dhati na nchi yao, kutoa pole kwa familia, ndugu, na marafiki wa wote waliopoteza maisha au kujeruhiwa katika maandamano yaliyofanyika siku ya uchaguzi October 29. Ni huzuni kubwa kuona damu ya Watanzania ikimwagika katika kipindi ambacho tunapaswa kutumia sauti na busara kujenga demokrasia yetu. Maisha ya kila mtanzania ni yenye thamani, na kila tone la damu lililomwagika litukumbushe kuwa haki, amani, umoja na mazungumzo ya kijamii ni msingi wa taifa letu. Kwa heshima tunaomba mamlaka husika kuchukua hatua za haki na za kibinadamu kuhakikisha ukweli unajulikana, wahusika wanawajibishwa na haki inatendeka bila upendeleo. Kwa familia zilizoathirika, tuko nanyi katika maombi, huruma na matumaini. Mungu awafariji, na taifa letu lijifunze kuthamini uhai na utu zaidi ya tofauti zetu za kisiasa. Taifa lenye amani ni taifa linalokubali ukweli, hata pale ukweli huo unauma. MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE.
37
303
1,492
32,525
BABA umevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo umeumaliza, Imani umeilinda Lala Salama JAKOM. AGWAMBO leo umelala katika makazi yako ya milele, hatuta kuona tena katika Dunia hii, Nenda salama Shujaa, umenitendea mema mengi, vizuri havidumu, FAREWELL TINGA, OSIEPA😭😭
11
81
711
17,266
Edwin Odemba retweeted
19 Oct 2025
Its tense for brother Odemba. Pole sana askari @chiefodemba
Chief Odemba mtangazaji toka Tanzania yupo Bondo Kenya kwenye mazishi ya Raila Odinga na ameketi pembeni ya Babu Owino ambaye ni Mbunge mashuhuri nchini Kenya. Itakumbukwa kuwa mwezi Juni mwaka huu Raila Odinga alikuja Tanzania kuhudhuria harusi ya Mtangazaji huyo.
2
22
4,666
“Chadema wawe makini sana na Polepole, alikuwa wapi wakati mikutano ya hadhara ilipozuiliwa.? Mbona hakusema chochote.?” evance Kamenge
50
20
170
9,889
"CCM haimiliki vyama vya Upinzani, Polepole aache upuuzi na asiendelee kuleta upuuzi, asikichafue Chama Cha Mapinduzi" Fadhili Maganya - M/KITI WA WAZAZI, CCM TAIFA.
17
10
151
10,101
38
78
637
31,807
“Chadema hatujutii kumbadilisha Jenerali Mbowe, Uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, chama Kinasonga mbele, maamuzi ya wengi uheshimiwe” Adv. Matata - MJUMBE WA KAMATI KUU CHADEMA.
9
108
605
12,632
“Mimi Siamini katika Ukomo wa Uongozi kwenye nafasi yoyote ile, hata iwe kwenye nafasi ya Urais” BENSON KIGAILA #tbt
32
30
231
10,129
“Hakuna anayeweza kukiua Chadema, hakuna chama cha upinzani zaidi ya Chadema ununu usinune, upende usipende, vingine vyote ni Vyama vya kwenye Flash” YERICKO NYERERE - ENZI ZAKE AKIWA CHADEMA
100
174
802
41,259
BURIANI JOB NDUGAI Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai amefariki Dunia leo August 06,2025 akiwa anaendelea kupatiwa matibabu Hospitalini baada ya kuugua ghafla.
27
19
293
11,105
Kesheni mkiomba , kwa maana hamjui siku wala saa.🙏🙏
33
72
817
18,548