Adv. Kilatu

Joined May 2022
4 Photos and videos
Hakuna uchambuzi wowote ni hasira za viti maalumu. Labda next time wanaume wataombavuti maalumu
Ni MUHIMU sana KUJIANDAAA kabla ya kufanya CHAMBUZI za CAG. Ukiwa haujajipanga vyema, unaweza jikuta unaongea UPUUZI. Na Mwenye DHAMANA akiongea UJINGA , anaidhalilisha TAASISI aliyopewa DHAMANA kuiongoza. Ushauri wa BURE,CAG ameongea mambo makubwa na mazito. Do your HOMEWORK.
41
R.i.p diplomat
Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Balozi Celestine Mushi, Balozi wa Tanzania nchini Austria na Mwakilishi wa Kudumu wa nchi yetu katika Mashirika ya Kimataifa, Vienna. Tumeondokewa na mwanadiplomasia mahiri na mtumishi makini wa umma. Mungu amweke mahali pema. Amina.
Hahaha@ Magoti acha fujo
Sijui M/Kiti Nondo alikuwa anaongea nini hapa, lakini nakubaliana naye 💯!
Mungu hawaiti wanaostahili bali huwastahilisha anaowaita God doesn't call the deserving but makes deserving those he calls
Morocco mmetuheshimisha
1
Babu
We are back to the battle. Greetings to them
Kamwabie Yule mgombea aliyechoka Sana wa TLS anayekutuma kutunga ujinga wako kwamba hautamsaidia hoja za kisheria hazijadiliwi mitandaoni tukutane mahakamani. Na wale watu wako wanaosubiri viti maalumu wambie watasubiri Sana. This is the problem of being desperate and pig mind
👉Yani Mdee na wenzake wamemlipa Wakili Kilatu Tshs 25, 000, 000/= kwa kudraft haya maujinga alafu wanategemea watashinda kwa kubebwa kama walivyobebwa 🤣🤣🤣 👉Pamoja na kusaidiwa na Sungusia but bado ngoma inabuma,kweli siku ya kufa miti kila nyani anateleza yani 🤣🤣🤣
Great bother
I am honored and humbled to receive an Honorary Doctorate in Humane Letters from President DeGioia and the Georgetown McDonough School of Business!
1
Hapa ni ruzuku tu na kubembeleza viti maalumu hakuna engagement in real sense. A hungry hyena never serves justice
👉Hii inaitwa Constructive Engagement🤣🤣🤣
Ruzuku babaaaa
20 May 2022
.. In a political point of view, Elephant in the room might be Peaceful Transition of Power?
Edson Kilatu retweeted
20 May 2022
.. In a political point of view, Elephant in the room might be Peaceful Transition of Power?
14
17
320
Hahahaaha. Wanapiga kelele kabla ya chakula kuingia mdomoni baada ya hapo kimyaaaaaaa. Tuendelee kula mtori nyama zipo chini
Taasisi inayoamini haikosei ni taasisi ya kidikteta tu. A wise listens and takes time to make self evaluation
Msitumie Kichaka cha jinsia kuhalalisha uvunjwaji wa Katiba Nawashangaa sana nyie wanawake ,mbona huwa hamuonekani pale wanawake wanapodhalilishwa? Mi nilipigwa na polisi, nikasafirishwa uchi mpk kituo cha Polisi mbona hamkusema? #Kulaya acha janjajanja.Usimsafishe @TuliaAckson
Two wrongs never make one right
20 May 2022
Inawezekana hawa so called feminist hawajui hata haki za wanawake wanazotakiwa kupigania. Wakina Halima walipopigwa na Askari wa kiume wakiwa CDM hatukuwasikia. Leo CDM imewafukuza kwa makosa ya wazi,feminist wanajitokeza, kwahiyo anaestahili kuadhibiwa akikosea ni mwanaume tu!!
Indeed it is not a walk on the park
Since Odinga runs for president always TIFApoll have been in favour of him , it will never be easy road
Make TLS relevant again. Vote 4 Sungusia
The biggest mistake you can make in life is to think you are right than anyone
1