Joined June 2019
12 Photos and videos
Emmanuel Matano retweeted
Bwana Yesu asifiwe Msikilizaji! Asubuhi njema mahali popote ulipo. Ni wakati wa kukamilisha wiki kwa baraka kwenye show bab'kubwa #AsheBreakfast ukiwa nami @EmmanuelMatano4 @radio_ashe , Unatune in ukiwa wapi?
2
2
4
73
Emmanuel Matano retweeted
#Mjadala Gabriel(Samburu) Zamani kulikuwa na heshima na nidhamu kati ya watoto kwasababu ya kiboko. Wakati tuliacha kiboko mambo yakaanza kuharibika @EmmanuelMatano4 @radio_ashe #AsheBreakfast
1
2
28
Emmanuel Matano retweeted
#Mjadala Kaparo(Laikipia) Mimi kama mzazi naunga mkono pendekezo la kurejesha adhabu ya kiboko shuleni kwasababu ukweli ni kuwa kiwango cha nidhamu kimeshuka @EmmanuelMatano4 @radio_ashe #AsheBreakfast
1
3
29
Emmanuel Matano retweeted
#Mjadala Hilary(Iten) Hii adhabu ya kiboko inafaa kuanzia nyumbani ili watoto wawe na nidhamu kuanzia nyumbani hata wakiingia shuleni wakuwe sawa @EmmanuelMatano4 @radio_ashe #AsheBreakfast
1
2
8
Emmanuel Matano retweeted
Bwana Yesu asifiwe Msikilizaji! Kumekucha na leo ni siku njema ambayo Mungu ameifanya. Tayari @EmmanuelMatano4 nishawasili mjengoni @radio_ashe kukuandalia show bab'kubwa #AsheBreakfast, Unaipokea ukiwa wapi? Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10
1
2
5
37
Emmanuel Matano retweeted
#Mdahalo Wimbi la vurugu lagubika shule likiacha uharibifu, majeraha na vifo. Hivi shida Iko wapi? Kipi kifanywe kumaliza Hali hii? #AsheBreakfast na @Jonathan_Tinga "Papaa Jt" @radio_ashe
2
3
25
Heri ya Siku ya Madaraka! Leo tunaadhimisha hatua muhimu katika historia ya taifa letu, tukikumbuka juhudi, umoja na uzalendo uliotuletea uhuru wa kujitawala. Radio Ashe Mungu Ibariki Kenya. #MadarakaDay2026 #RadioAshe #Kenya #UmojaNaMaendeleo
15
Emmanuel Matano retweeted
Bwana yesu asifiwe Msikilizaji! Umeamkaje? Happy New Month! Happy Madaraka day! Karibu tuanze mwezi huu kwa baraka kwenye #AsheBreakfast ukiwa nami @EmmanuelMatano4 @radio_ashe , Unategea ukiwa wapi? Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10
4
1
5
40
Emmanuel Matano retweeted
1
2
5
25
Emmanuel Matano retweeted
Good morning from bungoma county #AsheBreakfast
1
2
7
Emmanuel Matano retweeted
#Ashebreakfast twende nalo pole pole seregeya already locked 🔒🔒🔒
1
2
8
Emmanuel Matano retweeted
Bwana Yesu asifiwe Msikilizaji! U hali gami? Safari ya #AsheBreakfast imeng'oa nanga na kwenye usukani ni nahodha wako @EmmanuelMatano4 @radio_ashe , unacheck in ukiwa wapi? Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10
3
3
7
50
Emmanuel Matano retweeted
Replying to @radio_ashe
Good morning @EmmanuelMatano4 Kerandi Dennis aka omosori bwegesusu, kutoka Nakuru city salams club Niko ndani #AsheBreakfast
1
3
16
Emmanuel Matano retweeted
#Mjadala Mama Esther(EMC) Kuna watu ambao wako na loose tongue na cha kusikitisha ni kuwa watu wanaeneza matamshi ya chuki na hawachukuliwi hatua za kisheria @EmmanuelMatano4 @radio_ashe #AsheBreakfast
1
3
23
Emmanuel Matano retweeted
#Mjadala Lenyankopiro(Samburu) Matamshi ya chuki na uchochezi yanaweza kusababisha machafuko na vita. Ni sharti tukomesha hii tabia ili kuhakikisha kuwa taifa linakuwa na amani @EmmanuelMatano4 @radio_ashe #AsheBreakfast @NCIC_Kenya
1
2
16
Emmanuel Matano retweeted
#Mjadala Lesaana(Samburu) Ukiangalia hata vita vya wafugaji vya wizi wa mifugo, utakuta kuna uchochezi kutoka kwa wanasiasa. Wananchi tuerevuke na tusikubali kutumiwa na wanasiasa kwasababu sisi ndio tunaoathirika @EmmanuelMatano4 @radio_ashe #AsheBreakfast @NCIC_Kenya
1
3
18
Jumla ya mataifa 11 kutoka upembe wa Afrika na Afrika Mashariki yamekongamana jiji Addis Ababa nchini Ethiopia kwenye kongamano la 73 la Ghacof. Kwenye kongamano hilo, wadau wanatathmini matukio ya msimu wa Masika . Mwandishi wetu @EmmanuelMatano4 @IGAD_CPAC #GHACOF73
35
Emmanuel Matano retweeted
Bwana Yesu asifiwe Msikilizaji! Happy New Week! Natumai wikendi yako ilikuwa shwari, Karibu tuanze wiki hii kwa mpigo kwenye show bab'kubwa #AsheBreakfast ukiwa nami @EmmanuelMatano4 @radio_ashe , Unatune in ukiwa wapi? Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10
2
2
3
35
Emmanuel Matano retweeted
Replying to @radio_ashe
Good morning from Busia Obekai @EmmanuelMatano4
1
1
3