Joined March 2019
5,013 Photos and videos
Msitukazie na namba za waganga wa uhakika sasa
You will be richer than Elon musk this June
8
Maverick retweeted
Nimetoka kusikiliza Zubeda ya Profesa J. Kitu nachoweza kusema na kukubali ni kwamba vijana wa mjini tuna kasumba na haitaisha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿซด
1
3
8
146
Replying to @INFLUENCERjr
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Hee โ€ฆmtu ninae mahi
1
20
Wee bint kujiheshimu ndo kitu umegoma kabisa ee
HAYA BISHENI NA HII ILA WANAUME WEMA WAPOOOOโ˜บ๏ธโค๏ธ Nishawahi kusafiri na huyo mbaba seat moja kwenye newforce dar mbeya alikua anapiga vitu vyake Kwanza aliniuliza kama na mi natumia nkamwambia yah ila sinywi pombe kali, basi gari ilivyosimana sehem ya msosi akashuka akanletea wine na maji ya kunywa na msosi akawa amenunua na kikoi chake cha baridi Tumefika iringa baridi imeanza kushika akatoa kikoi akajifunika zake akanifunika na mimi tukawa tumelala huku tunashare charge na pods Nkiwaambia mpaka tunafika mbeya yule baba hakunigusa wala kumisbehave wala kuniomba namba mtaamini?!๐Ÿ˜
1
3
355
Maverick retweeted
Wewe endelea ku enjoy sasa , maana tukichukua mamlaka ya Nchi , utaenda makumbusho mapema sana. Trust me.
64
159
1,597
50,342
Maverick retweeted
๐Ÿ˜ƒVimanzi Vibonge hua vina drama sana...kinajinunisha siku nzima baadae anakwambia sisi Gemini cjui Libra ndo tulivyo...Yale maufala ya nyota ukiona manzi anayaendekeza ๐Ÿšฉ๐Ÿšฉ
52
41
343
26,056
Mbinguni mbona mbali sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mlisema Mbinguni tutajua kila kitu?๐Ÿ˜‚
26
Hii bila shaka umeifunga kigoda hapo nyuma ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Saizi mbeya ni mwendo wa dakika kadhaaaa tu ๐Ÿ˜. Ndege ๐Ÿ™Œ
11
Sijasoma yote uliyoandika ila nachoweza kukushauri kama wataka kujiua wee jiue tu
MNISHAURI HARAKA KABLA SIJAINGIA MKENGE๐Ÿ˜‘๐Ÿ™Œ Jamani iko hivi kuna mkaka tumefahamina kupitia mtandaoni Anasema anataka kuja tupange mambo ya posa sasa yeye anasisitiza sana mambo ya usaliti kuwa kama nina makando yangu niyaache maana yeye hataki usaliti Meanwhile tangu nimfaham sijawahi kula hata mia yake pili mimi nkamwambia ukija mimi ntakupisha ulale chumbani mimi nilale sebuleni anaanza kulalamika anasema nitakuwa namkatili yaani atoke dar hadi Mbeya halafu nimtenge?! Hivi jamani swali langu ni huyu mtu mnamuona yuko serious kweli?! Maana anajua kabisa kama mimi ni single mother na sina kaz na hajiongezi hata kutuma japo kidogo halafu anasema hataki usaliti hii imekaaje?!
31
Maverick retweeted
Watu sikuhizi hawakwambii ukweli kuwa huna akili wanakuita tu tajiri
16
15
78
2,689
Watu maarufu bongo ambao hawajawahi kupata watoto 1. Steven Kanumba 2. Lady Jay Deee 3. Humphrey PolePole 4.Wema Sepetu Ongezea wengine.....
39
Nani kakuandikia hii mwanetu ๐Ÿคฃ๐ŸคŒ
WANAUME ACHENI HIZI TABIA MARA MOJA๐Ÿ˜กโ€ผ๏ธโš ๏ธ๐Ÿšฎ Nilikutana na huyu baba ni mtu mzima nadhan kwenye 40 posta kwenye ofisi moja ivi, tukabadilishana no za sm na kuanza kuwasiliana, akawa amenitongoza nikamkubalia, aka suggest tuonane nikaomba iwe open space kwanza, nika suggest na hotel twende dinner, tumeenda jana hotel moja maarufu, alinifata home, ametaka kunikis nikakwepa, tumefika pale parking akataka nikiss tena nikamwambia its too early, tukaingia akanishika mkono nilikuwa naona aibu ni mtu mzima sana, saa ngap asizungushe mkono kiunoni nikamtoa nikaona kanuna, basi tumeagiza msosi tumekula akaingia washroom hakurud kaniachia bill 158k nampigia hii bill nitalipaje? Akasema ni mapema pia mimi kula pesa yake? Nilikuwa na ki akiba nikalipia but nimeumia sana Nadhan wanaume wafundishwe namna ya kuwa real gentlemen, kumfanyia mtoto wa kike kitendo kama kile ni utoto na ushamba
1
5
585
Huyu kuna namna hayuko sawa au anatumika kwa shinikizo, cha kwanza hiyo sigara ni kama kalazimishwa kuvuta (siyo mvutaji) wavutaji watanielewa Cha pili namna anavyoongea kuna namna tu
Cc @IntlCrimCourt This goon Clemence Mwandambo is a man who got fame for appearing to back peaceful protests in October 2025 and later the family claimed he was abducted. Since his release, he has changed and now is openly threatening with gun and violence peaceful protestors on 7/7 He is now a proxy of Abdul Ameir - and they are planning a new massacre! Kindly note and keep him on record for further action during the trial! Cc @SenateForeign @SFRCdems @US_SrAdvisorAF @StateDRL @UN_HRC @WorldBankAfrica @IMFAfrica Kama ni upumbavu basi ni hii! Mwandambo ameji-incriminate na atakuja kuwa shahidi au mshtakiwa! Asifikiri ni sifa kutisha watu na bastola ya Abduli?! Tunajua ametumwa na Abduli kuleta gumzo - he is just pathetic! Kesho yakimpata asilalamike eti alilazimishwa - kajitakia mwenyewe Acheni vitisho ๐Ÿšฎ mnatia watu hasira - mnafikiri ninyi mtaishi milele! Tusiogope wapendwa! Tumeshashinda hawa wamepagawa #TutaelewanaTu #SamiaMustGo
61
Msamaha wao umekubalika sasa
11 Dec 2025
Hapa issue ni wema abebe mimba azae ndipo tuwasamehe hao wasanii.
1
140
Najua mtabisha, ila Coy mzungu ni Ruge Mtahaba wa kwenye Comedy.
1
1
1
54
Kama hauko tayari kuomba msamaha hata kama kosa siyo lako au kusamehe bila kuombwa msamaha, tafadhali wachana na kitu inaitwa ndoa.
1
24
Kumekucha kumekucha
1
9
Hii umeitoa Tiktok au Fesibuku ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿซด
Mume katoka bongo kaenda ughaibuni kupiga kazi, after some time jamaa ake akawa anarudi bongo akamkabidhi iphone 15 na hela laki 8 ampelekee mkewe Jamaa kafika bongo cha kwanza kafikia kwa mke wa mchizi akampanga akikubali kumpa anampa iphone 15 na hela laki 8...wife kapagawa kampa show ya kwenda na kweli jamaa akampa vitu Kesho yake mume wake anampigia anamuuliza, vipi nlimuaguza fulani akuletee hela na simu alikufikishia?!๐Ÿ˜
1
416