Deeper Understanding | Accurate Solution

Joined May 2013
112 Photos and videos
Sarr kalipwa. Sio bure ☹️
22
Datius Faustine retweeted
One day πŸ™πŸΏ #Believe
1,531
5,210
30,152
For the Love of the GameπŸ”₯
Football gaming has a new dimension! Copa City game has launched with a purpose: Giving you the power to organize football matches, adapt real cities and manage massive fan crowds on PS5, Xbox X|S, and PC. Get @copacitygame now on a platform of your choice! HERE WE GO! #copacity #ad
6
Datius Faustine retweeted
Once a blue, always a blue! Great to pop back to the Bridge! πŸ’™
1,754
11,804
75,847
2,401,966
Datius Faustine retweeted
Jun 11
πŸ† Referee announced for 2026 #SuperCup! We're pleased to share that Somali referee Omar Artan will officiate the highly anticipated match between PSG and Aston Villa in Salzburg.
10,561
61,307
428,130
16,202,838
Datius Faustine retweeted
Mjadala wa UTT upo interesting. Ila here is my two cents! Kama pesa yako umeipata as Tsh na unategemea kuitumia as Tsh badae, kuweka UTT ni bonge la investment over time. Kama pesa yako umeipata as USD na unataka kuibadili iwe Tsh afu uinvest then uje tena uirudishe kwa USD baadae. unafanya biashara kichaa. Kiufupi, kama pesa ulizonazo zitahitaji u convert now or later, check stability na inflation ya hizo currency mbili kabla uja invest. Nataka nionyeshe power ya compounding over time kwa kutumia hii UTT kwa wenye Tsh. Kila mwezi mtu akaamua kuweka 100k, au 200k au 300k au 500k depends na uwezo wako. Yaan kila mwezi weka bila kutoa, usikose ata mara moja. Baada ya mda utaona faida ya compounding interest. sifa hapa ni consistency!! Frem 1 - 4 nimeeka result uone kiasi utachokua nacho after your desired period. the more unaeka ndo unapata zaid, and the longer utasubir ndo utavuna zaid! Interest: wanatoa avg annual interest ya 12 - 13%. Risk: do your own research, sijaona kama wana insurance na pia proof yao ya reserve sijaiona (auditing).
29
116
357
73,154
πŸ˜‚ This has no comeback
Hi Kevin, we were celebrating Chelsea finishing 10th in the League, 33 points behind Arsenal, after spending Β£1 billion on players who wouldn’t get on our bench and whose only European football next season will be on a beach in Marbella. Thanks for asking!
36
Datius Faustine retweeted
#UCL winners on this day in 2021. πŸ†
1,308
9,763
59,763
2,037,843
Datius Faustine retweeted
19 May 2012
CHELSEA ARE THE CHAMPIONS OF EUROPE!
2,139
45,464
48,909
Datius Faustine retweeted
Mungu mjalie mja wako Tundu Lissu afya na ustahimilivu aone matokeo ya wito ulio ndani yake.πŸ‘ŠπŸ½
39
386
2,295
21,039
Datius Faustine retweeted
🚨πŸ‡ͺπŸ‡¨πŸ’™Caicedo when asked about links to Real Madrid: "I have a contract with my club and I want to become a legend there" Proper Chels πŸ’™

48
683
12,213
497,663
Datius Faustine retweeted
Replying to @Faustine_Esq
Mjadala ni mzito.. kwa sababu tukitoka nchi zilizoendelea before end of colonialism, nchi zote zilizoendelea na kuwa developed countries zimetegemea strong man aliyefanya makubwa
2
1
1
43
Datius Faustine retweeted
Zama za Ofisi ya Msajili wa Vyama kuwa mchezaji namba 12 wa CCM FC zimekwisha. Dola isome alama za nyakati. The writing is on the walls! Msajili STOP THIS NONSENSE ya kutaka kufuta CHADEMA. Utafutwa wewe, No doubt about this! Tume ya Chande iliyoundwa na Rais imetoa Taarifa inayosema wananchi wanailalamikia Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa kutokutenda haki kwenye kusimamia shughuli za vyama vya Siasa. Badala ya Msajili kuchutama, kuwajibika na kubadilika anarudia makosa yaleyale yaliyopelekea mauaji yaliyoanza Oktoba 29. Msajili anajua, Watanzania wanajua na Dunia inajua kuwa Kuna ushahidi wa kutosha wa CCM kufanya makosa makubwa kuliko hata ambayo msajili ameituhumu Chadema, hatukuwahi kuona hatua zozote zimechukuliwa na Ofisi hii ya Msajili. Ofisi ya Msajili ijue WATANZANIA SIO MABWEGE. Tunachukulia tishio lolote dhidi ya CHADEMA ni tishio dhidi ya Demokrasia. An attack to one, is an attack to all. Iacheni CCM ifanye Siasa za Ushindani dhidi yetu. Nasi tufanye siasa za ushindani dhidi yao. Acheni kuwa mbeleko ya CCM. Mtaanguka nayo. Ujumbe huu sio wa Msajili tu bali pia ni kwa VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA pia. Kaeni pembeni acheni vyama vya Siasa vifanye Siasa. Mnataka watu wangapi wafe ili mpate somo?
135
418
1,519
51,719
Datius Faustine retweeted
Ujanani mwangu niliishi maisha ya kuwajali sana wengine na hamna faida yoyote nilipata. Uzeeni niliamua niishi maisha ya kujijali mwenyewe na naziona faida nyingi sana. Nimejifunza kwenye haya maisha usiwe kama mshumaa wewe unaungua ili makenge wapate mwanga baadae wakuone fala.
8
46
198
5,052
Datius Faustine retweeted
Rapa anaweza kuwa mwana HipHop na Mwana Hip Hop anaweza kuwa Rapa. Hip Hop inaweza wakilishwa na Rap ila sio Kila Rap ni HipHop Kitokololo na Totoo Ze Bingwa wa FM Academia ni Marapa lakini sio wana Hip Hop. Sio Kila anayechana ni mwana Hip Hop ni kitu Black Ninja anasema
Producer @black_ninjaah amemtoa #Billnass, #ChidiBenz na #FidQ kwenye kundi la wasanii wa HipHop! Msikilize hapa akinyoosha maelezo sababu ya kuwatoa wasanii hao kwenye HipHop. #PlanetBongo
9
12
28
8,882
Datius Faustine retweeted
Tunasemaga tusizoeane na Tweeps ila ni the same Twitter imeshow Love kwa Ninja na ilifika Maskan kabla na baada ya kupatikana kwake. Nadhan muhimu ni mambo mawili 1.Moja, kuwa na kiasi 2.Kuchagua eneo lako na watu wako. Kila kitu kinaweza kuwa kizur au kibaya kutegemea na Matumiz
10
54
206
7,657
Datius Faustine retweeted
Nimegundua siwezi kuishi bila Ex wangu jamani sijui turudiane tu😩😩 ila Gaby atajiuwa yule πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ #Jokesaside✌️ nimefurahi sana leo mwana ametoka nimemuona tena akiwa kwenye tabasamu Mungu ni mwema sanaπŸ™mbarikiwe wote mliopaza sauti🫢
20
42
174
8,414
Wakuu tusiache kupiga kelele hadi mwenzetu hapatikani, leo utaona haikuhusu ukanyamaza iko siku watafika dirishani kwako, tunahitaji kelele ya kila mmoja wetu mwenetu arudi uraiani #FreeNinja
3
179
291
5,911
Datius Faustine retweeted
Jamaa kawasemea watanzania ukweli.
55
225
858
47,604