Mtanganyika | Mkulima | Polygamist |Afisa Ubashiri | Babu | Katikati ya usiku nitaamka nikushukuru ๐Ÿ™๐Ÿฟ #VituVyaPeponi #MatomboStyleโญ๏ธ

Joined November 2010
7,952 Photos and videos
Pinned Tweet
UKWELI MCHUNGU: Kama baba yako angeamua kukwambia mabaya aliyokuwa anafanyiwa na mama yako hiyo heshima unayompa mama yako leo wala usingempa. Mama zetu tunawaheshimu na kuwapenda kwa sababu tu baba zetu waliamua โ€œkufa kiumeโ€ na mambo yao moyoni. Heshima kwa wababa/wanaume wote!!
33
196
928
90,568
NYANI MZEE retweeted
Replying to @jwise017
Unakuta VIPIENGA ya Mama upo Uholanzi
1
1
10
NYANI MZEE retweeted
Replying to @jwise017
Sio kudeal na matatizo na changamoto za walipa Kodi huku mitaani, nafasi za uongozi wa umma imekuwa kama fimbo ya kutuchapa ili tubaki kwenye matatizo yale yale toka Uhuru
1
2
NYANI MZEE retweeted
Replying to @jwise017
Pakua tiktok uone wehu wenzio ๐Ÿคฃ
1
40
Pembeni ya Deschamps ni mpambanaji Leboeuf? @MoruoKing
5
Hivi mtu unaacha pombe ili uwe nani? Mchawi? ๐Ÿคท๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿ˜†
Wenyewe mtajua kama huyu ni Lubasha; Annuary, Kipepe au Charles๐Ÿ˜๐Ÿ˜
1
13
NYANI MZEE retweeted
Jamaa amesoma na Raekwon High school huyo
1
1
37
NYANI MZEE retweeted
Na kuna wakati huna cha kuangalia sasa
Yaani season moja yenye episode 10 naangalia wiki tatu kweli kazi na umri dadeki ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
1
1
1
331
NYANI MZEE retweeted
Kwamba?
Malema anawapiga sana spana wenzie wasipomuelewa basi tena watakua sikio la kufa.
1
1
108
NYANI MZEE retweeted
Replying to @jwise017 @MoruoKing
Utakuwa unasoma majira ya SA muzeee๐Ÿ˜‚
1
1
22
NYANI MZEE retweeted
Replying to @jwise017
VPN ๐Ÿคฃ
1
1
43
Game ina ufundi mwingi sana hii ๐Ÿ”ฅ
1
24
Masai @MoruoKing huu muda wa game unanichanganya kwangu unasoma 21:00 na game haijaanza ๐Ÿคท๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ
2
1
1
216
Yaani season moja yenye episode 10 naangalia wiki tatu kweli kazi na umri dadeki ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
1
2
468
NYANI MZEE retweeted
Mazoea yameshakuwa tabia, waliweka kipindi cha maandamano ya October 29 ndo mpaka leo.
1
197
NYANI MZEE retweeted
Huwa nashindwa kuelewa hapo Barrier ni ya nini?? DP world sio??
1
1
238
NYANI MZEE retweeted
Replying to @jwise017
Nikiwa mkubwa naweka dashboard ya DMAX ubaoni ๐Ÿ˜‚
1
1
236
NYANI MZEE retweeted
Mapoti wanaokaa kwenye barrier kabla ya GATE NO 3 wanapenda interview kishenz. Unaenda wapi Kamanda? Naenda nyumbani fungua geti huku ndo kweupe Kilwa Rd wataniua
3
1
4
646
Mabosi mna namna yenu ya kutwiti ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
Mapoti wanaokaa kwenye barrier kabla ya GATE NO 3 wanapenda interview kishenz. Unaenda wapi Kamanda? Naenda nyumbani fungua geti huku ndo kweupe Kilwa Rd wataniua
1
128
NYANI MZEE retweeted
Replying to @jwise017
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ @MwansasuSnr kama Jumuia vile. Sasaivi tutakuwa live kwa Mkurugenzi wa JMARK hapo ROTANA ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
2
1
1
417
NYANI MZEE retweeted
Mkurugenzi @jwise017 kwato ziko wapi? Ijumaa baada ya kupiga Ribs gram 600 tunataka tukaokote mashore ๐Ÿ˜Ž
1
1
1,058