Being a part of this big vision, PARTICIPATE 2021, has been a great experience.
Nimepata kujifunza kutoka kwa vijana wa nchi mbalimbali hapa barani Afrika na ulaya (Denmark) mitazamo yao kuhusu suala la demokrasia pia uhusishwaji na ushiriki wa vijana katika mambo ya maendeleo.