Jana nimeingia Locals nikasema kila mtu apewe County, mimi nikaambia waiter anipee maji na keg ya Black. Waiter akaleta na akatulia kando yangu akaanza kunipigia Stori za Mrussia na vile yeye hawezi kuwa cheap hivo ndio maana alieka CCTV kwa hiyo local.
CCTVS from 254113349597