Joined February 2022
3 Photos and videos
Json retweeted
Kwa mujibu wa gazeti la Forbes Mwanasoka @Cristiano ndiye anayeongoza katika orodha ya wanamichezo 10 wanaolipwa pesa nyingi zaidi duniani kwa mwaka huu. Mshahara wa Ronaldo unakadiriwa kuwa takribani dola za kimarekani milioni 75 kwa mwaka huku shughuli zingine nje ya uwanja zikimuingizia takribani dola 136 milioni kwa mwaka. Lionel Messi ambaye aliongoza orodha hiyo mwaka jana sasa anashika nafasi ya pili. Nafasi ya tatu inashikiliwa na Kylian Mbappe, akifuatiwa na nyota wa mpira wa kikapu Lebron James. Wengine (bila kufuata mpangilio) ni Bondia Canelo Alvarez, wachezaji wa mpira wa Golf Dustin Johnson na Phil Mickelson ,nyota wa mpira wa kikapu Stephen Curry na Kevin Durant na nyota wa mpira wa Tennis Roger Federer. Gazeti la Forbes limezingatia pesa zote wanazopata wanamichezo ikiwemo mshahara na marupurupu ,pesa za tuzo pamoja na udhamini kati ya Mei 2022 na Mei 2023. #KitengeSports
8
15
663
17,799
Json retweeted
Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni Kamisaa wa Sensa ya mwaka 2022 Anna Makinda, amevitaka vyama vya Siasa ikiwemo CCM na Chadema,kusema ukweli na kuacha mambo ya uongo ambayo yataleta vurugu nchini. Kauli hiyo ameitoa wilayani Ilemela mkoani Mwanza,katika mkutano wa hadhara uliojumuisha viongozi wa vyama vya Siasa, walimu na wadau mbalimbali, baada ya Katibu wa Chama Chama Demokrasia na Maendeleo (Chadema)Wilaya ya Ilemela Justus Ndyanakio kutoa malalamiko yanayodai vyama vya Siasa havikushirikishwa katika shughuli ya sensa 2022. "Mtu anapokuwa na jambo atafute namna ya kulitatua na siyo kunung'unika kwa wananchi, Vyama vya Siasa vimekuwa vikiamua kusema tu neno vinasahau kuwa vinaweza kuvuruga nchi,mimi ni CCM lakini CCM, Chadema na vyama vingine viwe vinasema ukweli,suala la sensa magari yalipita yakatangaza,watu waliiomba kwa njia ya mtandao walifanikiwa kupata nafasi,"alisema Makinda. #KitengeUpdates
17
32
1,117
52,448
Json retweeted
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Taifa kuhusu umuhimu wa kujitokeza katika zoezi la uandikishaji wa Sensa ya Watu na Makazi Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Agosti, 2022. @venusnyota
20
45
276
6 Aug 2022
😀😀 usitukane
1
15 Jun 2022
Amen
15 Jun 2022
The steps of a good man are ordered by the Lord, And He delights in his way. Psalms 37:23
Json retweeted
2 Jun 2022
...be strengthened by the grace that is in Christ Jesus, 2 Timothy 2:1
12
177
1,166
Json retweeted
22 May 2022
The name of the Lord is a strong tower; the righteous man runs into it and is safe. Proverbs 18:10
17
303
1,537
Json retweeted
“Today, it’s almost, “Shear my sheep.” Get them into a place and take everything they got, and make them pledge their home, and all of their old age pensions, and everything else. Talk about a shearing! Jesus never said that.” 62-0610E #endtimemessage
1
2
3
Json retweeted
“Jesus said, “If you love Me, feed My sheep.” Now, that’s where I think we’ve failed a lot, is feeding His sheep. “If you love Me, feed My sheep.” 62-0610E - Convinced Then Concerned #endtimemessage
1
7
16
Json retweeted
1 Apr 2022
For the Lord God is our sun and our shield. He gives us grace and glory. The Lord will withhold no good thing from those who do what is right. Psalms 84:11
6
99
533
Json retweeted
“Now, by spiritual discernment, Joshua, the new leader, by spiritual discernment, placed each one where he belonged, divided the land just exactly.” 60-0911M - As I Was With Moses, So I Will Be With Thee #endtimemessage
1
6
12
Json retweeted
“I say, when you pray, believe that you receive what you ask for, it’ll be given to you.” How much more promise could be made than That? You’ve got to believe it, because It is a seed.” 63-0606 #endtimemessage
4
8
Json retweeted
“And if you can take that attitude, that that promise is unto you! Jesus said, in Saint Mark 11:22, “Verily I say unto you, if you say to this mountain, ‘Be moved,’ don’t doubt in your heart, but believe that what you’ve said will come to pass, you can have what you’ve said.”
1
4
7
Json retweeted
“And I go on record, I say this, about the Word of God being a Seed. If you can take the right mental attitude towards any Divine promise of God, He will bring it to pass, if you can get yourself in position to believe that that promise was to you.” 63-0606 #endtimemessage
3
6
14
Json retweeted
26 Mar 2022
Surely goodness and mercy shall follow me all the days of my life, and I shall dwell in the house of the Lord forever. Psalm 23:6
9
105
495
Json retweeted
OSAMA BIN LADEN VS MAREKANI #PichaLinaendelea sehemu 3 Akapokelewa na kuwa Mwanafunzi wa HASSAN ABFALLAH AL TURABI aliyekuwa kiongozi wa kidini wa Sudan.Huyu ndo anatajwa kumpa OSAMA maujanja Mengi sana kuanzia kiroho ,network/connections hadi michezo ya kupitisha pesa
32
120
467
Json retweeted
“To the Jews He was the Son of David. To the Greeks He was Lord, to us He’s Lord, to the Gentiles. And now in the last days, He would return back again as Son of man…” 64-0419 - The Trial #endtimemessage
2
3
5
Json retweeted
25 Mar 2022
Jesus said to her, “Did I not tell you that if you believed you would see the glory of God?” John 11:40
5
39
259
Json retweeted
“But, you, you got your own way about it, man has today. And he knows more than anybody else, and he won’t listen to the—the signs and warnings of the oncoming Judgment, and those who reject Christ.” 63-1124M #endtimemessage
6
9