Kwa namna ambavyo Serikali dhalimu na katili ya MaCCM na watawala wake wanavyomtesa Tundu A.M Lissu gerezani, leo zikiwa zimetimia siku 428 tangu kuwekwa kizuizini, siku ambayo Mungu ataamua kugeuza kibao na Tundu A.M Lissu akawa Mkuu wa Nchi, kisha akaamua kuwawajibisha wahuni wote kwa makosa yao kwa mujibu wa sheria, asitokee mtu yeyote, mtumishi wa Mungu au jumuiya za kimataifa kulalamika. Kila tendo lina matokeo yake, na kila anayepanda atavuna alichopanda. 🙏🏾