Vijana wengi waliojiunga na maandamano hawakujua kwamba nyuma ya harakati hizo kulikuwa na maslahi ya kisiasa na kifedha ambayo hayakuwahusu wao. Wengi walitumika kama zana huku wakifikiri wanapigana kwa ajili ya haki na uhuru wa kweli wa wananchi wenzao. #MariaSarungiNiMamluki
Nashauri kwa serikali yangu ya awamu ya sita ikibainika kuna wanasiasa wanaohamasisha au kutoa matamko mabaya ya kuleta machafuko nashauri hao wanasiasa wanyanganywe tu hati zao za kusafiria yaani passport Ili wasiwe na uwezo wa kutorokea nje ya nchi.
Nimeona pia kwenye Mitandao baadhi ya Watu wanatamani kuleta chokochoko kwenye Mikoa yetu, na kwa bahati mbaya sana nguvu inayotumika katika kulinda amani wakati mwingine inakuwa ya kawaida sana, nguvu zitakazoendelea kutumika kulinda amani pengine haijawahi kutokea wala kuonwa

katika kipindi chote, na pengine kuna wengine wanadhani kuna nguvu ishawahi kutumika mahali, kwenye kikao hiki nataka niwathibitishie yalikuwa ni majaribio kutumia nguvu kulinda amani.β
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila akizungumza hii leo na Wenyeviti na
Tanzania's development path is increasingly being driven by productive engagement with international markets. Stronger European connections are part of that story. The world is connecting to Tanzania.
The expansion of direct air links reflects a broader reality: commercial ties between Tanzania and Europe are stronger than ever. The world is connecting to Tanzania.
As trade grows, investments increase and direct flights multiply, one message becomes clear: Tanzania is not isolated. Tanzania is increasingly connected, competitive and globally engaged. The world is connecting to Tanzania.
Barabara Zinazopishana za Inyala Mbeya
Serikali ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan imeleta suluhisho la kisasa katika eneo la Inyala, Mkoani Mbeya.Barabara hizi zinazopishana zimejengwa ili kuboresha mtiririko wa magari kwenye barabara kuu ya TANZAM na kuongeza usalama kwa

wananchi na madereva wote.
Faida kuu:
Kupunguza msongamano katika makutano
Kutenganisha magari yanayoendelea moja kwa moja na yale yanayogeuka
Kuongeza usalama barabarani
Mradi huu ni ishara nyingine ya dhamira ya serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia ya