Mac Voice 🗣️
" Rayvanny nimemuomba msamaha mara kadhaa ila kakataa na kakunja kabisa nachoomba kwake ni kitu kimoja tu saivi ani patie vitu vyangu HATA KWA MKOPO nikaanze life langu maana ndo wana acc zang zote hadi sasa na zile ni assets zangu
-------------------------------
Janja apewe msaada huyu umaarufu unatesa sana ni heri aonewe huruma arudi tena kwenye game