One of the biggest conglomerates in Africa. 🌐 38,000 Employees 🇹🇿 Proudly #Tanzanian 🌍 Present in 11 African Countries metl.net

Joined September 2012
3,918 Photos and videos
Kufua isiwe stress. Ukiwa na Mo Super Wash, unapata msaada wa kufua vizuri na kuacha nguo zikiwa safi, fresh na zenye mvuto. Siri ya usafi si lazima iwe siri tena - jibu ni Mo Super Wash. #MoTunagusaMaishaYako #MeTLGroup #SuperWash
12
MO Extra ni ya kufungua kwa style sahihi, sio kwa drama 😂⚡Furahia ladha bila kumwaga hata tone. #MOExtra
48
Unajua ile feeling ya kuingia supermarket ukiwa tayari unajua unachotaka? Hiyo ndio Mo Taifa kwa wengi wetu 😂 Ukiona blue pack au yellow pack, unaanza kuchagua kwa confidence kwa sababu usafi wa nguo hauhitaji majaribio mengi. #Mo #TunagusaMaishaYako #MeTLGroup #MoTaifa
19
Kuna watu wanashinda kwa goli, wengine wanashinda kwa presha, lakini wewe shinda kwa kuwa tayari 😄 Mo Simba Power inakupa nguvu ya kuendelea kusikiliza, kushangilia na kufuatilia kila dakika. Mechi iwe kali, betri iwe imara. #TunagusaMaishaYako #METLGroup #SimbaPower
25
Mo Spaghetti ni ile plan rahisi ya kuokoa jioni zako bila kupoteza ladha. Unapokuwa huna idea ya kupika, lakini bado unataka chakula cha maana, spaghetti ndio jibu. Rahisi kupika, tamu kula, na inafaa kwa kila mtu mezani. #TunagusaMaishaYako #METLGroup #MoSpaghetti
18
Kuna nguo zinaweza kujikusanya kimya kimya mpaka unajiuliza zimetokea wapi 😂 Usisubiri kapu liwe kama mlima, chukua Mo Protector na anza kufua kwa uhakika. Usafi mzuri huanza na sabuni unayoamini. #MeTL #TunagusaMaishaYako #MoProtector #Tanzania
1
35
If you are looking for a job in one of these roles, don't miss your chance, register on the 'Make Your Move' website and wait for the HR team to contact you if you are eligible for the role.
37
Ukitaka kunitega kirahisi, usitumie maneno mengi… weka tu chakula kizuri mezani kilichopikwa na mafuta ya yara . Yara inasaidia kuleta matokeo mazuri kwenye mapishi yako, iwe ni tambi, chips, kuku au chakula cha nyumbani. #MeTL #TunagusaMaishaYako #METLGroup #MoSpaghetti
1
57
MeTL Group retweeted
Today we celebrate the people who build culture, support talent, and strengthen organizations from the inside out. Across every interaction, challenge, and milestone, HR professionals make an impact that extends far beyond processes. Thank you to our HR team across @MeTL_Group for your dedication, empathy, and commitment to people. Happy International HR Day. #InternationalHRDay #PeopleFirst #Leadership #HR
3
7
1,794
Ukiwa na “Dr.” wa ukweli, hata kiu ina diagnosis yake 😄🥤 Mo Cola ikiwa baridi… tiba imepatikana papo hapo! #MoCola #KunywaBaridi #BurudaniYaKweli
126
If you are looking for a job in one of these roles, don't miss your chance, register on the 'Make Your Move' website and wait for the HR team to contact you if you are eligible for the role. #MeTLGroup #MYM #MoTunagusaMaishaYako
1
2
141
If you are looking for a job in one of these roles, don't miss your chance, register on the 'Make Your Move' website and wait for the HR team to contact you if you are eligible for the role. #MeTLGroup #MakeYourMove
99
MeTL Group retweeted
Some traditions are worth showing up for, year after year. Yesterday, over 250 of our people across 15 units came together at the Mnazi Mmoja grounds to mark Mei Mosi and represent @MeTL_Group, a tradition we’ve kept for years, and one that continues to matter. This year’s theme, “Decent work is a strong pillar for sustainable development in achieving the National Vision 2050” speaks to something we don’t always pause to reflect on enough. That decent work isn’t just an outcome, it’s a foundation for sustainable growth, for stronger institutions, and ultimately for the future we are all working towards. Days like this are a reminder that behind every milestone, every operation, every result… there are people. People who show up, commit, and carry the work forward every single day. Grateful for the teams that represented us, and for the many more across @MeTL_Group who continue to do the work that often goes unseen. Happy Labour Day. #LabourDay #MeiMosi #MeTLGroup #PeopleAtWork #OurWorkforce
2
7
1,763
Kwa kunyolea safi na laini bila usumbufu, chagua Dorco Razor Blade. Inakupa ukataji sahihi, faraja na muonekano nadhifu kila siku. ✨🪒 #MeTLGroup #DorcoRazorBlade
1
104
Unataka chips kavu zilizo crispy kabisa? 🍟✨ Hakikisha mafuta yanapata moto vizuri, pika kidogo kidogo ili zipate ukavu unaotakiwa, na kwa matokeo bora tumia mafuta ya Yara. Ladha na ubora unaoonekana! 🔥 #MeTLGroup #YaraOil
1
82
Heri ya Mei Mosi! 🇹🇿💼 Tunawapongeza wafanyakazi wote kwa juhudi, bidii na mchango wenu katika kujenga taifa letu kila siku. Endeleeni kung’ara—kazi ni heshima! 💪✨ #MeTLGroup #HeriYaMeiMosi #SikuYaWafanyakazi
3
74
The strongest professionals are built through patience, consistency, learning, and experience. Every small step today creates bigger opportunities tomorrow. Your journey doesn’t need to be rushed — it needs to be steady. #MeTLGroup #MakeYourMove #MYM
59
Nguo bado zinatoa harufu hata baada ya kufua? 🤔 Labda unatumia sabuni kidogo au maji mengi kuliko inavyotakiwa. Hakikisha unasugua vizuri sehemu zenye madoa na tumia Super Wash — kiboko ya uchafu kwa usafi wa kweli. ✨🧺 #MeTLGroup #SuperWash
60
Kila moment ya burudani inahitaji chanzo cha nguvu.
Chagua MO Simba Power—usikose hata sekunde moja. #Mo #MeTL #TunagusaMaishaYako #METLGroup #Tanzania #Simba #MoExtra
73