Filter
Exclude
Time range
-
Near
The roar is getting louder! 🦁 Simba wa Nairobi, Babu Owino, has landed in Thika for the Linda Mwananchi Tour. The people are ready, and the message is clear. #Babukwasababu #Bilababutabu #Lindamwanchitour
Carmen, Kika, and Simba have just arrived in the paddock for the race. Follow us to support our work 😊 #F1 #F1news #Skysport #motorsport
9
Moss retweeted
Mimi ni Simba dia. Jambo.
Kwani nyi wote ni cheaters?
34
477
2,291
36,217
simba lang ako, baby
5
Replying to @DivhaAfrica
Who is many, Simba and Rutendo vakafamba nebhora… takaMumaka asi chokwadi Rutendo anofamba neSocial media
2
πnon kisser retweeted
Que fofa a tattoo do Simba de O Rei Leão do Bovolenta da Itália #VNL2026
26
256
5,582
Ploxmass Photography 🇰🇪💯 retweeted
Replying to @MsMiriti
Is this a simba or a milipede
1
1
29
It's been a hard week adjusting to life without Simba, keep your heads up Kings & Queens 🐶
3
Replying to @Gidi014
akidemand aitwe simba 😂😂😂
1
14
Zakia Issa Mswaki from Kwembalazi writing her mid-year letter to her Simba Club sponsor. Simba Club is our student sponsorship scheme. villageafrica.org.uk/donate/… #VillageAfrica #Yamba #Milingano #Kwembalazi #sponsorachild #childsponsorship #studentsponsorship
5
Replying to @Nantekolela
Transformation bado haijakimilika Eneo bado ni Mali ya wanachama 51% hata mchakato utakapokamilika La Mwisho Magori amewakilisha viwanja vingi sio vya Simba pekee
7
Buaya retweeted
🦁We delivered this Simba fursuit here in China. Seeing him put it on and play with us was such a happy moment 📩For commissions or collaboration, feel free to reach out #Furry #Fursuit #fursuitmaker #furry #Simba #TheLionKing #fursuitphotoshoot #furryartwork #Disney
13
128
1,281
23,281
Mid-year letter writing to Simba Club sponsors is underway. Photo - Abdalah Housein & Yohana Wallace in Kwembalazi Simba Club is Village Africa's child sponsorship scheme villageafrica.org.uk/what-we… #VillageAfrica #Yamba #Milingano #sponsorachild #childsponsorship #studentsponsorship
2
Exist _ Exol retweeted
simba??? is that you??

19
56
824
Replying to @Anna_xb2
Sylvester, Simba
Gusto mag simba kaso inaantok na
10
#HABARI Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewakamata madereva 11 na kuwafungia leseni zao kufuatia makosa mbalimbali ya ukiukwaji wa sheria, kanuni na taratibu za usalama barabarani katika operesheni maalum iliyofanyika kwa kipindi cha wiki moja kuanzia Juni 5 hadi Juni 13, 2026. Kwa mujibu wa taarifa ya kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza DCP Wilbrod Mutafungwa amesema operesheni hiyo imelenga kudhibiti vitendo vya kihalifu na kuimarisha usalama barabarani, ambapo baadhi ya madereva walibainika kufanya vitendo vinavyohatarisha maisha ya watumiaji wengine wa barabara. Miongoni mwa waliokamatwa ni Daudi John Mapalala (36), mkazi wa Mkoa wa Geita, aliyekuwa akiendesha basi lenye namba T560 DTU aina ya TATA BUS, pamoja na Sospeter Lubigisa Mpanduji (31), mkazi wa Geita, aliyekuwa akiendesha basi lenye namba T321 DAR aina ya TATA BUS. Madereva hao walikamatwa Juni 10, 2026 katika Barabara ya Nyehunge–Nzela, Wilaya ya Sengerema, wakituhumiwa kuendesha magari sambamba na kuvuka watumiaji wengine wa barabara kinyume cha sheria. Aidha, Juni 11, 2026 majira ya saa 2:00 usiku katika Barabara ya Kishiri, Wilaya ya Nyamagana, Polisi walimkamata Mashiba Emmanuel Hamza (28), mkazi wa Kishiri, akiwa anaendesha gari lenye namba T271 ENA aina ya SHACMAN kwa mwendo kasi katika eneo la makazi ya watu, jambo lililotajwa kuhatarisha usalama wa wananchi na watumiaji wengine wa barabara. Katika tukio jingine, Juni 13, 2026 katika eneo la Bundesliga, Nyasaka, walikamatwa Buluba Damas Romano (27), mkazi wa Ilemela-Mahakamani, na Nelson Elias Lugonda (36), mkazi wa Nyakato, wote wakiwa wanaendesha magari aina ya TOYOTA HIACE yenye namba T334 CHD na T347 CTE mtawalia. Madereva hao wanadaiwa kuendesha magari sambamba katika barabara yenye njia moja kwa kila upande, hali iliyosababisha usumbufu na kuhatarisha usalama wa watumiaji wengine wa barabara. Vilevile, katika Barabara ya Mwanza–Shinyanga eneo la Ukiriguru, Wilaya ya Misungwi, Jeshi la Polisi liliwakamata madereva watatu wa mabasi kwa kosa la kuyapita magari mengine katika maeneo yasiyoruhusiwa huku wakiwa wamebeba abiria. Waliokamatwa ni Jumane Issa Zengo (42), mkazi wa Nyegezi, aliyekuwa akiendesha basi la kampuni ya ALLY’S STAR lenye namba T542 EFH aina ya GOLDEN DRAGON BUS, Godfrey Mahela Mkingwa (31), mkazi wa Mkoa wa Shinyanga, aliyekuwa akiendesha basi la kampuni hiyo lenye namba T200 ESZ, pamoja na Hassani Ado Simba (48), mkazi wa Shinyanga, aliyekuwa akiendesha basi lenye namba T264 ETH aina ya SCANIA, mali ya kampuni ya AHSANTE RABI. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limeonya madereva kuzingatia sheria za usalama barabarani na kuacha tabia za kuendesha kwa uzembe zinazoweza kusababisha ajali na kupoteza maisha ya watu. Polisi wameeleza kuwa operesheni kama hizi zitaendelea kufanyika mara kwa mara ili kuhakikisha usalama wa watumiaji wote wa barabara unaimarika. #EastAfricaTV
1
127