Zambiassa 🇿🇲 on tullut voimaan uusi lainsäädäntö, joka kieltää lapsiavioliitot. Tämä on historiallinen päätös, ja monen vuoden työn tulos.
Ilman @UNFPA'n yleistukea mm. Suomesta 🇫🇮 @Ulkoministerio, pitkäjänteinen työmme olisi haasteellista. #PartnersAtCore@UNFPAZambia#SRHR
We’re celebrating #WorldChildrensDay by conquering new heights for child rights💙 In a world threatened by climate change, we took on the highest mountain in #Africa with celebrities @NancySumari & Gaudence Lekule to symbolize our commitment to climate action #ForEveryChild💙
Not all heroes wear capes. Some, #Climb4Kids💙
@NancySumari & Gaudence Lekule have joined hands with @unicef🇹🇿 to conquer Mount #Kilimajaro for the rights of every child!
Together, we can protect the rights of our children against the threats of climate change.
#WorldChildrensDay
We’re embarking on a journey like never before🏔️
Together with @NancySumari we’re taking on the highest peak in Africa to deliver one message:
The climate crisis is a child’s rights crisis!
Let's stand together for a better, sustainable future #ForEveryChild!
#WorldChildrensDay
Kwako kijana unayetamani kujiendeleza kimasomo,fursa ya scholarship za Chevening zinazotolewa na @ukintanzania ziko wazi kwa ajili yako.Kama mmoja ya vijana waliofanikiwa kusoma kwa kupitia program hii, ninakusihi usiache ku apply.#CheveningScholarship#CheveningAlumni
Tunakusogezea kilicho bora kila wakati. Pata vitabu vyenye mengi ya kujifunza kwa watoto wako toka kwa @NancySumari kwa kutembelea inalipa app au bit.ly/tysnbks na kufanya manunuzi sasa. Delivery ni BURE. #inalipaapp
DOWN MEMORY LANE
16TH DECEMBER 2005: MISS World Africa, @NancySumari (left) hugs Salma Kikwete, wife of Presidential candidate @jmkikwete, upon her arrival at Julius Nyerere Internationa Airport in Dar es Salaam.
#DailyNewsArchives
Kipekee nimshukuru sana, mwenyeji wangu, Mhe Wanu Hafidh Ameir MP- Viti Maalum ambaye pia Mwenyekiti @Mwanamkeorg, pia Mama Fatma Mwasa ambaye ni mwenyekiti mtendaji wa @Mwanamkeorg , Rais wa Wanafunzi na waziri wake anayeshughulikia mambo ya wanawake shuleni, na Walimu Wote
Nimepata heshima kuweza kuzindua kitabu cha ‘SAMIA’ rasmi kwenye Skuli ya Sekondari ya Kizimkazi, Zanzibar, aliposoma Mhe. Rais @samia_suluhu_hassan.
Ninaamini, kila msichana atakayesoma kitabu hiki, atajiona katika safari ya Mama, na atahamasika kutetea na kutimiza ndoto zake
Leo tumefanya Uzinduzi wa Kitabu cha “SAMIA” katika Skuli ya Sekondari Kizimkazi, nyumbani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. @SuluhuSamia . Kitabu hicho kimeandikwa na Mtunzi na Mjasiriamali jamii @NancySumari
Asante Sana kila mmoja wenu kwa mapokezi mazuri ya kitabu cha ‘SAMIA’.
Nimefarijika sana kwa kuungwa mkono zaidi ya matarajio yangu. Ni kweli kwamba sisi Watanzania ni watu Rahim sana. Kipekee nimshukuru mchoraji wa kitabu hiki @titotrythis, kwa ushirikiano ulioupa maneno uhai.
We are Preparing An Exciting Future For Your Child!
Get ready for the most historic moment, this December.
CHILDREN BOOT CAMP!
Embracing Entrepreneurship, Digital and Finance Education for Kids!
@JengaHub@Natokajekidigit@GetrudeMligo@NancySumari@lilly_makoi
Timu ya @ElimikaWikiendi tunampongeza mdau wetu katika masuala mtawalia ya elimu, Bi. @NancySumari kwa kutambulisha rasmi kitabu cha watoto chenye maudhui ya kihistoria na masuala mtawalia yaliyotokea katika nchi yetu hususan katika vipindi vya uongozi nchini.
Hongera @NancySumari. Kazi ya #Malezi ni yetu wana-jamii. Nafarijika kuona jitihada hizi za kuweka kumbukumbu za matukio muhimu kwa maandishi.
Namna hii watoto wanaamshwa ari na shauku zao katika kuijenga kesho bora kwao. Bora kuliko hii ya kwetu.
Kongole.
Nitaijia nakala.
Ninapenda kukitambulisha rasmi kitabu changu cha tatu cha watoto, kilichopewa jina linalobeba umuhimu na maana kubwa sana, jina la ‘SAMIA’.
Umuhimu huu unatokana na tukio la nchi yetu kupata Rais wa kwanza Mwanamke, ikiwa ni tukio la kihistoria kwa nchi yetu ya Tanzania.
Kitabu hiki cha ‘SAMIA’ kinapatikana sasa kwenye maduka yote ya:
1. A Novel Idea , Slipway Dar na Arusha
2. TPH Bookshop , Samora Avenue na UDOM Dodoma
3. MAK Bookstores - Oysterbay na Mlimani City
4. @mommyandalma Shop
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa TZ
Simulizi hii ya maisha ya Mh. Rais, inalenga kumfundisha mtoto, na sisi sote, kujiamini, kujituma, kuishi maisha ya mfano katika utumishi, uaminifu katika kazi, na pia namna ya kukabili changamoto, na kusonga mbele kwenye maisha.
Kila tukio la historia linapotokea, hatuna budi kulienzi kwa kunakili. Ndio sababu kuu na maana halisi ya kuandika kitabu hiki, kinachoangazia maisha ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
Ninapenda kukitambulisha rasmi kitabu changu cha tatu cha watoto, kilichopewa jina linalobeba umuhimu na maana kubwa sana, jina la ‘SAMIA’.
Umuhimu huu unatokana na tukio la nchi yetu kupata Rais wa kwanza Mwanamke, ikiwa ni tukio la kihistoria kwa nchi yetu ya Tanzania.